Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAANDISHI WA HABARI WA REDIO ZA JAMII WAASWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA KATIKA KUITUMIKIA JAMII‏

Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama, akitoa mafunzo ya maadili na jinsia kwa waandishi wa habari na watangazaji wa Redio za Jamii nchini yanayolenga kuwajengea uwezo katika utendaji wa kazi zao kwenye vituo vyao.Mafunzo hayo ya siku tano yamefadhiliwa na Shirika la UNESCO kupitia mradi wa Demokrasia na Amani kuelekea uchaguzi 2015. Mkufunzi wa Redio za Jamii kutoka Unesco Mama...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI WA REDIO ZA JAMII WAASWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA KATIKA KUITUMIKIA JAMII

DSC_0046 Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama, akitoa mafunzo ya maadili na jinsia kwa waandishi wa habari na watangazaji wa Redio za Jamii nchini yanayolenga kuwajengea uwezo katika utendaji wa kazi zao kwenye vituo vyao. Mafunzo hayo ya siku tano yamefadhiliwa na Shirika la UNESCO kupitia mradi wa Demokrasia na Amani kuelekea uchaguzi 2015. DSC_0012 Mkufunzi wa Redio za Jamii kutoka Unesco Mama Rose Haji Mwalimu, akitoa somo kwa washiriki wa Semina ya...

 

11 years ago

GPL

REDIO ZA JAMII NCHINI ZIMETAKIWA KUWA MAKINI NA UANDAAJI WA VIPINDI PAMOJA NA HABARI, KATIKA KUEPUSHA UIBUAJI WA MIGOGORO KATIKA JAMII ZINAZOWAZUNGUKA‏

Mwezeshaji wa warsha hiyo ambaye pia ni Mkufunzi wa Redio za Jamii kutoka Unesco, Mama Rose Haji Mwalimu, akitoa utambulisho kwa waendesha warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kutoka Shirika la Search for Common Grounds (SFCG), yanayoendelea mjini Dodoma. Meneja Mradi wa SFCG wilaya ya Tarime, Bwana Jacob Mulikuza, akielezea maudhui ya warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kwa washiriki ambao ni waandishi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Klabu ya waandishi wa habari mkoani Singida yatakiwa kuzingatia weledi katika taaluma yao

DSC05680

aimu mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Cosbert Mwinuka, akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa Singida Press Club (Singpress) uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hotel ya Muhai iliyopo kijiji cha Nduguti.Wa pili kulia (walioketi) ni mwenyekiti wa Singpress, Seif Takaza na wa kwanza kulia ni makamu mwenyekiti wa Singpress,Damiano Mkumbo.

DSC05689

Baadhi ya wanachama wa Singpress,waliohudhuria mkutano mkutano mkuu wa klabu hiyo uliofanyika kwenye...

 

9 years ago

GPL

UNESCO, TCRA YATAKA WADAU WA HABARI KATIKA MATUMIZI YA INTANETI KUZINGATIA USIRI NA MAADILI‏

Mwenyekiti wa National Governance Internet Forum ambaye pia ni Rais wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya akiwakaribisha wadau wa mitandao na watumiaji wa intaneti kwenye jukwaa hilo kabla ya kumkaribisha mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA kufungua rasmi jukwaa hilo. Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Bw. Sunday Richard akifungua rasmi Jukwaa la wadau wa...

 

9 years ago

Michuzi

TASAF YAWAHIMIZA WAANIDISHI WA HABARI KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA YAO HASA WAKATI HUU WA UCHAGUZI.

 Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bwana Ladislaus Mwamanga amewahimiza waandishi wa habari mkoani Dar es salaam kuzingatia maadili ya taaluma hiyo hasa wakati huu ambapo taifa linaingia katika hatua muhimu ya kuchagua viongozi katika uchaguzi mkuu.
Mwamanga ambaye alikuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa kongamano hilo amewasihi waandishi wa habari kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia misingi ya taaluma yao ili kuepukana upotoshaji na kuitia nchi katika mgogoro usiokuwa wa lazima. Amesema taaluma...

 

11 years ago

GPL

MRADI MPYA WA SHUGA UNAOELEKEZA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU KWA VIJANA WAANZISHWA KATIKA REDIO JAMII‏

Meneja wa kituo cha Sengerema FM Redio, Ndg. Felician Ncheye, akitoa nasaha za ukaribisho kwa washiriki wa mradi wa SHUGA na mgeni rasmi. Katikati ni Mgeni rasmi Mratibu wa UKIMWI halmashauri ya Sengerema mkoa wa Mwanza kupitia mradi wa TACAIDS, Ndg. Geofrey Mabu na Kulia ni Afisa Mipango VVU/UKIMWI UNESCO, Ndg. Herman Mathias.…

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK.RASHID SEIF AFUNGUA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USALAMA WA CHAKULA‏

 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif  (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.   Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani