TASAF YAWAHIMIZA WAANIDISHI WA HABARI KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA YAO HASA WAKATI HUU WA UCHAGUZI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-lYqbjWeNbek/Vh3xXMxx1hI/AAAAAAAH_44/ohp2q8-__Io/s72-c/New%2BPicture.png)
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bwana Ladislaus Mwamanga amewahimiza waandishi wa habari mkoani Dar es salaam kuzingatia maadili ya taaluma hiyo hasa wakati huu ambapo taifa linaingia katika hatua muhimu ya kuchagua viongozi katika uchaguzi mkuu.
Mwamanga ambaye alikuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa kongamano hilo amewasihi waandishi wa habari kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia misingi ya taaluma yao ili kuepukana upotoshaji na kuitia nchi katika mgogoro usiokuwa wa lazima. Amesema taaluma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 May
Klabu ya waandishi wa habari mkoani Singida yatakiwa kuzingatia weledi katika taaluma yao
aimu mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Cosbert Mwinuka, akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa Singida Press Club (Singpress) uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hotel ya Muhai iliyopo kijiji cha Nduguti.Wa pili kulia (walioketi) ni mwenyekiti wa Singpress, Seif Takaza na wa kwanza kulia ni makamu mwenyekiti wa Singpress,Damiano Mkumbo.
Baadhi ya wanachama wa Singpress,waliohudhuria mkutano mkutano mkuu wa klabu hiyo uliofanyika kwenye...
11 years ago
Michuzi13 Feb
WAANDISHI WA HABARI WA REDIO ZA JAMII WAASWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA KATIKA KUITUMIKIA JAMII
![DSC_0046](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0046.jpg)
![DSC_0012](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_00121.jpg)
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0046.jpg)
WAANDISHI WA HABARI WA REDIO ZA JAMII WAASWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA KATIKA KUITUMIKIA JAMII
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
MSEMAJI WA SERIKALI: Wanahabari zingatieni miiko na maadili ya taaluma kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu Okt 25
Mkurugenzi Idara ya Habari, Assah Mwambene (kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (Hawapo pichani) mapema leo Oktoba 22.2015 katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO. Anayeshuhudia kushoto ni afisa wa Idara hiyo. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[ILALA-DAR ES SALAAM] Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo, Assah Mwambene amekutana na wanahabari mbalimbali mapema leo na kuwapa elimu juu ya kuzingatia maadili na misingi ya uandishi wa Habari...
9 years ago
Dewji Blog15 Sep
UNESCO, TCRA yataka wadau wa habari katika matumizi ya intaneti kuzingatia usiri na maadili
Mwenyekiti wa National Governance Internet Forum ambaye pia ni Rais wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya akiwakaribisha wadau wa mitandao na watumiaji wa intaneti kwenye jukwaa hilo kabla ya kumkaribisha mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA kufungua rasmi jukwaa hilo.. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tanzania Education and Research Network (TERNET), Amos Nungu na Kushoto ni Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na...
9 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_8938.jpg)
UNESCO, TCRA YATAKA WADAU WA HABARI KATIKA MATUMIZI YA INTANETI KUZINGATIA USIRI NA MAADILI
10 years ago
Dewji Blog07 Sep
Weledi na kuzingatia maadili ya uandishi wa shughuli za Bunge Maalum la Katiba kutaleta tija kwa waandishi wa habari
Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la Kimataifa la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
Kanuni za Bunge Maalum hususani...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YRbabiy2Hs0/VAwXMUMZuxI/AAAAAAAGgwM/i5tzTicSBEs/s72-c/BUNGE-MAALUMU-LA-KATIBA.jpg)
WELEDI NA KUZINGATIA MAADILI YA UANDISHI WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALU LA KATIBA KUTALETA TIJA KWA WAANDISHI WA HABARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-YRbabiy2Hs0/VAwXMUMZuxI/AAAAAAAGgwM/i5tzTicSBEs/s1600/BUNGE-MAALUMU-LA-KATIBA.jpg)
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
Kanuni za Bunge Maalum hususani Kanuni ya 77 inawataka waandishi wa habari kuandika habari za Bunge Maalum kwa weledi mkubwa na kuzingatia maadili ya uandishi wa habari ili kujiepusha na uandishi wenye utashi na ushabiki wa kisiasa, msukumo binafsi, chuki ama uchochezi na wakati mwingine uongo wa makusudi.
Aidha, katika Kanuni hiyo hiyo ya 77(3) inatamka bayana ya kuwa “Katibu anaweza wakati wowote kuondoa ruhusa aliyotoa kwa mwakilishi wa Chombo chochote...