Benki ya Posta yazing’arisha Taswa FC, Taswa Queens
Benki ya Posta Tanzania (TPB) imeendelea kuisadia timu ya Waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC) baada ya kuikabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya kutumika katika mashindani na michezo mbali mbali ya kirafiki.
Benki hiyo imekabidhi seti za jezi kwa timu hizo zikiwa na jumla ya thamani ya Sh1,180,000 kwa timu ya mpira wa miguu maarufu kwa jina la Taswa FC na timu ya netiboli ambayo pia inajulikana kwa jina la Taswa Queens.
Akizungumza katika makabidhiano hayo, Meneja mahusiano...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboTASWA FC, TASWA QUEENS WAMALIZA ZIARA YAO YA MKOA WA ARUSHA NA TANGA BILA KUFUNGWA
10 years ago
Vijimambo10 Oct
TPB SUPPORTS TASWA FC, TASWA QUEENS
TANZANIA Sports Writers Association Sports Club (TASWA SC) received sports gears worth Tzs 1,800,000/= from Tanzania Postal Bank (TPB). Chief Manager, Corporate Affairs of the bank Noves Moses said her bank has decided to support the team as a gesture for active recreation activity besides reporting. Noves said...
11 years ago
MichuziBenki ya Posta yaipiga tafu Taswa SC
11 years ago
Dewji Blog07 Aug
Benki ya Posta yadhamini klabu ya waandishi, TASWA SC
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Moses Manyata (wa kwanza kushoto)akikabidhi mfano wa hundi kwa mwenyekiti wa Taswa SC, Majuto Omary (wa kwanza kulia)ikiwa sehemu ya benki hiyo kusaidia michezo nchini. Katikati ni Afisa Mawasiliano wa wa benki hiyo, Chichi Hilda Banda.
Na Mwandishi wetu
Benki ya Posta Tanzania (TPB) imeidhamini klabu ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC), kufuatia juhudi zake za kuhamasisha na kuendeleza michezo nchini.
Benki...
11 years ago
MichuziUCHAGUZI TASWA: 27 WAREJESHA FOMU UCHAGUZI TASWA
Mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu hizo ilikuwa leo Alhamisi (Februari 27 mwaka huu) saa 9 alasiri.
Waliorejesha kwa nafasi ya ujumbe ni Aron Benedict Mpanduka, Elizabeth Rashid Mayemba, Emmanuel Augustino Muga, Hassan Maulid Bumbuli, Ibrahim Mkomwa...
9 years ago
Habarileo31 Aug
Bonanza la Taswa Desemba 12
BONANZA Maalumu linaloandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa) litafanyika Desemba 12 mwaka huu jijini Dar es Salaam, imeelezwa. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Taswa Amir Mhando, bonanza hilo litahusisha waandishi na wafanyakazi wa vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini.
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Elite Learning kudhamini Taswa SC
CHUO cha Elite Learning cha Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam, kimeahidi kusaidia timu za soka na netiboli za waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC), ili ziweze kusonga...