Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bonanza la Taswa Desemba 12

BONANZA Maalumu linaloandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa) litafanyika Desemba 12 mwaka huu jijini Dar es Salaam, imeelezwa. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Taswa Amir Mhando, bonanza hilo litahusisha waandishi na wafanyakazi wa vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TUZO ZA TASWA KUFANYIKA DESEMBA 12 MWAKA HUU

TUZO za Wanamichezo Bora wa Tanzania zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) zinatarajiwa kufanyika Desemba 12 mwaka huu, huku Kampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB) Group Limited ikijitokeza kuwa mdhamini mshiriki wa tuzo hizo kwa kutoa Sh. Milioni 10. Akizungumza na waandishi wa habari katika mgahawa wa City Sports Lounge, Dar es Salaam katika hafla ya kutangaza udhamini huo jana, Meneja Mkuu wa SSB Limited, Said Muhammad Said alisema wameamua kudhamini tuzo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

AJTC yang’ara bonanza la Taswa Arusha

TIMU ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha (AJTC), kimefanikiwa kung’ara kwenye bonanza la Kanda ya Kaskazini lililoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Mkoa wa...

 

9 years ago

Michuzi

MSHINDI WA BONANZA LA TASWA KUONDOKA NA MAMILIONI YA FEDHA


Katibu wa taswa mkoa wa Arusha Akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na tamasha la waandishi Agosti 29 uwanja wa kheikh Amri abeid mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Arusha, Filex Ntibenda,  kati kati mwenyekiti wa taswa mkoa Arusha, Jamila omar, Meneja matukio ya kampuni ya bia nchini TBL Chris Sarakana ambao wadhamini wakuu, na makamu mwenyekiti wa taswa Arusha, Andrea Ngobole
.
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda,anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la 10 la vyombo vya...

 

10 years ago

Michuzi

Taswa FC yatinga nusu fainali Asas Dairies bonanza

Iringa. Timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC imetinga kwa vishindo michuano ya soka ya Asas Dairies Limited inayoendelea mkoani Iringa baada ya kushinda mechi zake zote za hatua ya makundi. Taswa FC ilichezo mechi yake ya kwanza dhidi ya Mkwawa Senior na kuicharaza kwa mabao 5-0 katika mchezo wa kundi A. Mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Samora, ulikuwa mkali na wa kusisimua na Taswa FC ilifunga mabao yake kupitia kwa Zahoro Mlanzi aliyefunga mabao matatu...

 

11 years ago

Michuzi

JUMA PINTO MGENI RASMI KATIKA BONANZA LA TASWA ARUSHA

  picha ikionyesha katibu wa chama cha waandishi wa habari  Mussa Juma  akiwa  na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za michezo, Arusha (TASWA) Jamila Omary wakiwa wana pokea cheki ya  shilingi   milioni moja na laki tano  kutoka kwa meneja masoko wa  Megatrade  Gudluck Kwayu katika ukumbi wa hoteli ya palace mkoani Arusha.  katibu wa taswa wa kwanza  kushoto  Musa juma akiwa anaongea na waandishi wa habari kuhusiana na bonanza la taswa linalotarajiwa kufanyika jumamosi katika...

 

9 years ago

Vijimambo

TASWA FC, TASWA QUEENS WAMALIZA ZIARA YAO YA MKOA WA ARUSHA NA TANGA BILA KUFUNGWA

Mchezaji wa Taswa Fc, Julius Kihampa (kushoto) akikokota mpira wakati wa mchezo wa Bonanza la 10 la Taswa Arusha dhidi ya timu ya IMS Maji ya Chai, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 1-1.Mchezaji wa Taswa Queens, Oliver Arbogasti, akimdhibiti mchezaji wa timu ya Chuo cha waandishi wa Habari cha AJTC wakati wa mchezo wao. Katika mchezo huo Taswa Queens, ilishinda mabao 37 - 3 Nahodha wa timu ya Taswa Queens, Zuhura...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani