Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSHINDI WA BONANZA LA TASWA KUONDOKA NA MAMILIONI YA FEDHA


Katibu wa taswa mkoa wa Arusha Akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na tamasha la waandishi Agosti 29 uwanja wa kheikh Amri abeid mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Arusha, Filex Ntibenda,  kati kati mwenyekiti wa taswa mkoa Arusha, Jamila omar, Meneja matukio ya kampuni ya bia nchini TBL Chris Sarakana ambao wadhamini wakuu, na makamu mwenyekiti wa taswa Arusha, Andrea Ngobole
.
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda,anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la 10 la vyombo vya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Bonanza la Taswa Desemba 12

BONANZA Maalumu linaloandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa) litafanyika Desemba 12 mwaka huu jijini Dar es Salaam, imeelezwa. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Taswa Amir Mhando, bonanza hilo litahusisha waandishi na wafanyakazi wa vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

AJTC yang’ara bonanza la Taswa Arusha

TIMU ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha (AJTC), kimefanikiwa kung’ara kwenye bonanza la Kanda ya Kaskazini lililoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

Taswa FC yatinga nusu fainali Asas Dairies bonanza

Iringa. Timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC imetinga kwa vishindo michuano ya soka ya Asas Dairies Limited inayoendelea mkoani Iringa baada ya kushinda mechi zake zote za hatua ya makundi. Taswa FC ilichezo mechi yake ya kwanza dhidi ya Mkwawa Senior na kuicharaza kwa mabao 5-0 katika mchezo wa kundi A. Mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Samora, ulikuwa mkali na wa kusisimua na Taswa FC ilifunga mabao yake kupitia kwa Zahoro Mlanzi aliyefunga mabao matatu...

 

11 years ago

Michuzi

JUMA PINTO MGENI RASMI KATIKA BONANZA LA TASWA ARUSHA

  picha ikionyesha katibu wa chama cha waandishi wa habari  Mussa Juma  akiwa  na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za michezo, Arusha (TASWA) Jamila Omary wakiwa wana pokea cheki ya  shilingi   milioni moja na laki tano  kutoka kwa meneja masoko wa  Megatrade  Gudluck Kwayu katika ukumbi wa hoteli ya palace mkoani Arusha.  katibu wa taswa wa kwanza  kushoto  Musa juma akiwa anaongea na waandishi wa habari kuhusiana na bonanza la taswa linalotarajiwa kufanyika jumamosi katika...

 

10 years ago

Michuzi

KOMBE LA MEYA SHINYANGA 2015 LAZINDULIWA,TIMU 18 KUCHUANA, MSHINDI KUONDOKA NA ZAWADI NONO!

Mashindano ya Kombe la Meya Shinyanga 2015 (Pepsi Meya Cup 2015) yamezinduliwa rasmi leo na mkuu wa wilaya ya Shinyanga ndugu Josephine Matiro katika viwanja vya Shycom mjini Shinyanga.
Mashindano hayo ambayo yameandaliwa na mstahiki meya wa manispaa ya Shinyanga Gulam Hafidh Mukadam na kudhaminiwa na kampuni ya Vinywaji baridi ya  Pepsi (SBC Tanzania Ltd) yanashirikisha timu 17 za kata zote za manispaa hiyo na timu ya polisi Shinyanga.
Mashindano ya Kombe la Meya Shinyanga yakihusisha...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU ARUMERU YAOKOA MAMILIONI YA FEDHA ZA SACCOS


Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Arusha Frida Weresi akizungumza na waandishi wa habari juu ya chunguzi mbalimbali zinazohusiana na vyama vya ushirika AMCOS na SACCOS Mkoani Arusha.




Na.Vero Ignatus,Arusha

Taasisi ya kupambana na Rushwa mkoani Arusha Takukuru imeendelea kufanya chunguzi mbalimbali zinazohusiana na vyama vya Ushirika (AMCOS na SACCOS) kutokana na malalamiko wanayoyapokea kutoka katika vyanzo mbalimbali na ubadhirifu unaofanywa na baadhi ya viongozi na wanachana hivyo kupelekea baadhi...

 

10 years ago

GPL

WAUZA MITUMBA WANAVYOTAPELIWA NA KUPOTEZA MAMILIONI YA FEDHA

Muuza mitumba. Theft ni neno la Kiingereza linalomaanisha wizi na -ology ni neno la Kigiriki linalomaanisha elimu, hivyo Theftology ni somo la wizi wa aina mbalimbali. Hatufundishi somo hili ili watu wawe wezi, lengo letu ni kutoa elimu kwa watu  juu ya aina mbalimbali za wizi unaoendelea duniani hivi sasa ili wawe makini, pindi matapeli watakaposimama mbele yao kwa lengo la kuwadanganya ili wawaibie, wawe wajanja! Kuna mbinu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani