WAUZA MITUMBA WANAVYOTAPELIWA NA KUPOTEZA MAMILIONI YA FEDHA
![](http://api.ning.com:80/files/BybgAqvu3Om*yKIIFG18cPnp3Nu69NBQihdbXMibOwGYxiWGdRhIQ9dn1PhdwZj*cJrjrHll7o8s9y18LroXs75jFRwkl4T-/mitumbakenia.jpg?width=650)
Muuza mitumba. Theft ni neno la Kiingereza linalomaanisha wizi na -ology ni neno la Kigiriki linalomaanisha elimu, hivyo Theftology ni somo la wizi wa aina mbalimbali. Hatufundishi somo hili ili watu wawe wezi, lengo letu ni kutoa elimu kwa watu juu ya aina mbalimbali za wizi unaoendelea duniani hivi sasa ili wawe makini, pindi matapeli watakaposimama mbele yao kwa lengo la kuwadanganya ili wawaibie, wawe wajanja! Kuna mbinu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo01 Feb
Wauza nguo za ndani mitumba waizidi ujanja TBS
WAFANYABIASHARA wa nguo za ndani zilizo hafifu maarufu kama mitumba jijini Mbeya, jana waliwazidi ujanja maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kuficha nguo hizo wakati wa operesheni ya kuzikusanya na kuwakamata wauzaji.
10 years ago
Vijimambo26 Mar
TABIA HII YA WAUZA MITUMBA SOKO LA MCHIKICHINI NI UDHALILISHAJI WA KIJINSIA
![Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/Baadhi-ya-wateja-wa-nguo-wakichagua-nguo-kwenye-soko-la-Mchikichini.jpg)
Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale wa Modewji blogMiongoni mwa mambo ya aibu katika jamii ni pamoja na masuala ya udhalilishaji wa kijinsia ukiwemo ule wa maungoni hasa kwa wanawake.Kwa muda mrefu mtandao huu umekuwa ukifuatilia vitendo hivyo vibaya kwa jamii vinavyofanywa na watu waliokosa ustaarabu hasa jamii ya vijana katika maeneo ya mikusanyiko ya watu wengi karibu maeneo mengi ikiwemo jiji la Dar es Salaam....
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
TAHARIRI: Tabia hii ya wauza mitumba soko la Mchikichini ni udhalilishaji wa kijinsia
Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Miongoni mwa mambo ya aibu katika jamii ni pamoja na masuala ya udhalilishaji wa kijinsia ukiwemo ule wa maungoni hasa kwa wanawake.
Kwa muda mrefu mtandao huu umekuwa ukifuatilia vitendo hivyo vibaya kwa jamii vinavyofanywa na watu waliokosa ustaarabu hasa jamii ya vijana katika maeneo ya mikusanyiko ya watu wengi karibu maeneo mengi ikiwemo jiji la Dar es...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/Baadhi-ya-wateja-wa-nguo-wakichagua-nguo-kwenye-soko-la-Mchikichini.jpg?width=640)
TAHARIRI: TABIA HII YA WAUZA MITUMBA SOKO LA MCHIKICHINI NI UDHALILISHAJI WA KIJINSIA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-r4gQTfWXyik/Vd3x4CaacCI/AAAAAAAAPZo/nZyk6GFATRw/s72-c/20150821_171941.jpg)
MSHINDI WA BONANZA LA TASWA KUONDOKA NA MAMILIONI YA FEDHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-r4gQTfWXyik/Vd3x4CaacCI/AAAAAAAAPZo/nZyk6GFATRw/s640/20150821_171941.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-SUiOApFtnOw/Vd3ydkHQTOI/AAAAAAAAPaA/GYQtXl3Mus8/s640/20150821_172115.jpg)
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda,anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la 10 la vyombo vya...
5 years ago
MichuziTAKUKURU ARUMERU YAOKOA MAMILIONI YA FEDHA ZA SACCOS
Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Arusha Frida Weresi akizungumza na waandishi wa habari juu ya chunguzi mbalimbali zinazohusiana na vyama vya ushirika AMCOS na SACCOS Mkoani Arusha.
Na.Vero Ignatus,Arusha
Taasisi ya kupambana na Rushwa mkoani Arusha Takukuru imeendelea kufanya chunguzi mbalimbali zinazohusiana na vyama vya Ushirika (AMCOS na SACCOS) kutokana na malalamiko wanayoyapokea kutoka katika vyanzo mbalimbali na ubadhirifu unaofanywa na baadhi ya viongozi na wanachana hivyo kupelekea baadhi...
10 years ago
Vijimambo01 Dec
MKE AKIRI MUMEWE BWANA BALENGA KUMUUZIA NYUMBA MFANYABIASHARA HANS MACHA KUTOKANA NA KULEMEWA NA MADENI YA MAMILIONI YA FEDHA ALIZOKOPA
![](https://2.bp.blogspot.com/-OXrYJ5VzmsA/VHyR7L4bomI/AAAAAAAAr3Y/AzHwj8wPwKc/s1600/MACHA%2BHANS.jpg)
MKE wa mlalamikaji katika kesi ya kughushi dhidi ya Mfanyabiashara Hans Macha (pichani), amedai mahakamani kwamba mumewe anadaiwa fedha nyingi na mshtakiwa, alishindwa kulipa akaamua kumuuzia nyumba.
Mke huyo Nurya Ahmad (34),ambaye ni shahidi wa upande wa utetezi, amedai hayo leo Desemba Mosi, katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu,Dar es Salaam, mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka, kwa kuongozwa na wakili wa utetezi, Deo Ringia.
Nurya amedai mahakamani hapo kwamba...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-sW6TZhGLzlA/XmfCjS3dUYI/AAAAAAACIe8/DU7gqOUO0_oWW0HRk3lfBUgPvoO-B5QzgCLcBGAsYHQ/s72-c/mbowe.jpg)
MAHAKAMA YA KISUTU YAWATIA HATIANI KINA MBOWE, YAWAHUKUMU KILA MMOJA KIFUNGO CHA MIAKA MITANO JELA AU KULIPA FAINI YA MAMILIONI YA FEDHA
![](https://1.bp.blogspot.com/-sW6TZhGLzlA/XmfCjS3dUYI/AAAAAAACIe8/DU7gqOUO0_oWW0HRk3lfBUgPvoO-B5QzgCLcBGAsYHQ/s400/mbowe.jpg)
KISUTU, Dar es SalaamMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, imewatia hatiani viongozi wanane wa Chadema na Katibu Mkuu wa zamani wa chama hicho Dk. Vicent Mashinji, katika mashtaka 12 kati ya 13 yaliyokuwa yanawakabili, isipokuwa shtaka la kwanza la kula njama.
Akisoma hukumu kwa washtakiwa hao, Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo Thomas Simba,...
5 years ago
MichuziKUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana.
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...