Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOMBE LA MEYA SHINYANGA 2015 LAZINDULIWA,TIMU 18 KUCHUANA, MSHINDI KUONDOKA NA ZAWADI NONO!

Mashindano ya Kombe la Meya Shinyanga 2015 (Pepsi Meya Cup 2015) yamezinduliwa rasmi leo na mkuu wa wilaya ya Shinyanga ndugu Josephine Matiro katika viwanja vya Shycom mjini Shinyanga.
Mashindano hayo ambayo yameandaliwa na mstahiki meya wa manispaa ya Shinyanga Gulam Hafidh Mukadam na kudhaminiwa na kampuni ya Vinywaji baridi ya  Pepsi (SBC Tanzania Ltd) yanashirikisha timu 17 za kata zote za manispaa hiyo na timu ya polisi Shinyanga.
Mashindano ya Kombe la Meya Shinyanga yakihusisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Timu zalamba zawadi Kombe la Mwakalebela

MDHAMINI wa mashindano ya soka ya Ligi ya Wilaya ya Iringa Mjini, Fredrick Mwakalebela, amekabidhi zawadi kwa mshindi wa mwaka huu timu ya Real Moja Moja. Real Moja Moja, mabingwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Manispaa ya Kinondoni yaibuka mshindi wa jumla tuzo ya Meya 2015

APK3a

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda.

… zilzioandaliwa na ALAT

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Manispaa ya Kinondoni ya Jijini Dar es salaam imeibuka mshindi wa wa Jumla ya kwenye tuzo zilzioandaliwa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) katika kutimiza miaka 30 ya ALAT kwenye mkutano wa 31 wa Jumuiya hiyo unaoendelea jijini Dar es Salaam.

Katika halfa hiyo ya tuzo ambapo Rais Jakaya Kikwete alikuwa mgeni rasmi, uliohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa ALAT,  pamoja na wadau...

 

9 years ago

Michuzi

MSHINDI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 CAROLINE CHELELE, AKABIDHIWA RASMI ZAWADI ZA VIFAA VYA KILIMO

Mshindi  wa shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015, Linaloendeshwa na Shirika la Oxfam kupitia program yake ya Grow msimu wa nne Caroline Chelele amekabidhiwa zawadi ya vifaa vya kilimo vyenye thamani ya kiasi cha shilingi Millioni 20, nyumbani kwake kata ya Ifakara mkoani Morogoro.
Akizungumza katika hafla ya makabidhiano hayo ya zawadi  Mkoani Morogoro wilayani  Kilombero kata ya Ifakara,Meneja Ushawishi na Utetezi kutoka Shirika la Oxfam,Eluka Kibona alisema zawadi hiyo ni moja ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Anatafutwa kwa kutokomea kusikojulikana na mali ya Kampuni, zawadi nono kutolewa

MUSA DRIVER 001

Kampuni ya MOHAMMED ENTERPRISES (T) LTD inautangazia umma kutoweka Mfanyakazi MUSA SAID (Pichani) aliyekuwa  Dereva wa 21st CENTURY TEXTILES MOROGORO kwa kupeleka kusikojulikana mzigo wa Vitenge na kisha kutelekeza gari lenye namba za usajili T 128 CVJ katika bohari kuu (Main Godown) ya Dar es Salaam kampuni  ya MOHAMMED ENTERPRISES (T) LTD.

Tumeshafungua Jalada CB/RB/4869/2014 na CB/IR/1540/2014.

Zawadi nono itatolewa kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwake.

Kwa taarifa za kupatikana...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

IGP ATOA ZAWADI NONO KWA ATAKAYEFANIKISHA KUKAMATWA MAJAMBAZI WALIOVAMIA STAKISHARI

Muonekano wa Kituo cha Stakishari, Ukonga jijini Dar kilichovamiwa na majambazi. Askari polisi akidumisha ulinzi kwenye kituo hicho. MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu leo ametoa zawadi nono ya shilingi milioni 50 kwa mtu yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa majambazi waliovamia Kituo cha Polisi cha Stakishari kilichopo Ukonga, Dar juzi. Zawadi… ...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA MUCOBA FC MABINGWA WA FAINALI YA KOMBE LA MUUNGANO MUFINDI 2015,MRATIBU ATANGAZA KUSTAAFU RASMI

Mkuu  wa  wilaya ya Mufindi Mboni Mhita katikati  akiwa katika picha ya pamoja na   mabingwa wa mashindano ya  kombe la Muungano Mufindi timu ya Mucoba Fc ,wa kwanza kulia ni mratibu wa mashindano hayo aliyestaafu rasmi Daud Yassin na mdau mkubwa wa  soka mkoa wa Iringa Feisal AsasMkuu wa wilaya ya  Mufindi Mboni Mhita  akikabidhi kombe kwa mabingwa  timu ya MUcoba FC

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

GPL

WAREMBO 20 KUCHUANA MISS SHINYANGA 2014

Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Shinyanga 2014 katika pozi.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la FA:Arsenal kuchuana na Reading

Kiungo wa kati wa Arsenal Jack Wilshere huenda akaanzishwa kwa mara ya kwanza baada ya kupona jeraha la kifundo cha mguu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani