Timu zalamba zawadi Kombe la Mwakalebela
MDHAMINI wa mashindano ya soka ya Ligi ya Wilaya ya Iringa Mjini, Fredrick Mwakalebela, amekabidhi zawadi kwa mshindi wa mwaka huu timu ya Real Moja Moja. Real Moja Moja, mabingwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKOMBE LA MEYA SHINYANGA 2015 LAZINDULIWA,TIMU 18 KUCHUANA, MSHINDI KUONDOKA NA ZAWADI NONO!
Mashindano hayo ambayo yameandaliwa na mstahiki meya wa manispaa ya Shinyanga Gulam Hafidh Mukadam na kudhaminiwa na kampuni ya Vinywaji baridi ya Pepsi (SBC Tanzania Ltd) yanashirikisha timu 17 za kata zote za manispaa hiyo na timu ya polisi Shinyanga.
Mashindano ya Kombe la Meya Shinyanga yakihusisha...
9 years ago
BBCSwahili14 Aug
Kombe la dunia:Timu 3 za Afrika zashindwa
11 years ago
BBCSwahili30 May
Cameron azuru timu ya Kombe la Dunia
11 years ago
Mwananchi26 May
Ni timu nane tu zimetwaa Kombe la Dunia
9 years ago
Habarileo23 Dec
Timu saba zatinga raundi ya tatu kombe la FA
TIMU saba zimekata tiketi ya kucheza mzunguko wa tatu wa michuano ya kombe la Shirikisho, FA unaotarajiwa kuanza mapema Januari 2016. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), timu hizo ni Ashanti United, Burkinafaso, Geita Gold, Friends Rangers, Madini FCM, Panone na Rhino Rangers.
10 years ago
BBCSwahili16 Jul
Kombe la Kagame timu zote kuwasili leo
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Tm-JGzm9ycQ/VUEKoJX2s9I/AAAAAAAC3yg/ziliOytnw00/s72-c/1.jpg)
TIMU YA NYOTA FC YANYAKUA KOMBE LA NDONDO CUP
Timu ya Soka ya Nyota Fc imeichapa timu ya Ambrella Garden Fc kwa Magoli Sita kwa Matano na kufanikiwa kuondoka na kombe la Ndondo Cup Sambamba na Kitita cha Shilingi Laki Tano Taslimu katika fainali za Ndondo Cup zilizofanyika katika viwanja vya Aicc vilivyopo Jijini Arusha.
Akizungumza wakati wa fainali hizo Naibu meya wa Jiji la Arusha Prosper Msofe alisema kuwa mashindano hayo ya ndondo Cup yamewakutananisha vijana wengi ambao wamepata fursa ya kuonesha...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Kambi za timu 32 Fainali za Kombe la Dunia 2014 Brazil