Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kombe la Kagame timu zote kuwasili leo

Timu zote zinazoshiriki michuano ya Kombe la Kagame zinatakiwa kufika mjini Dar es Salaam leo, na si zaidi ya hapo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kombe la Kagame darasa tosha kwa timu zetu

>Mashindano ya mwaka huu ya Kombe la Kagame ambayo yamekuwa yakiendelea katika ardhi ya Tanzania yameingia hatua ya robo fainali.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Timu kuanza kuwasili leo

TIMU zinazoshiriki michuano ya Kagame zinatarajia kuanza kuwasili nchini leo na kesho kwa ajili ya michuano hiyo inayotarajia kutimua vumbi keshokutwa katika viwanja vya Taifa na Karume jijini Dar es Salaam.

Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Baraka Kizuguto alisema jana kuwa timu zinazowasili leo ni Al Shandy (Sudan), Al Malakia (Sudan Kusini) na KMKM kutoka Zanzibar.

Alisema Al Shandy wanatarajiwa kuwasili leo saa 3 asubuhi na ndege ya (KQ), KMKM wakitarajiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kila la heri Azam FC Kombe la Kagame leo

Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki ya Kombe la Kagame, Azam FC leo wanapambana na Gor Mahia ya Kenya katika mechi ya fainali itakayofanyika Uwanja wa Taifa.

 

10 years ago

Michuzi

JK APOKEA KOMBE LA KAGAME TOKA KWA AZAM FC IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Mrisho kikwete pozi na mabingwa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015. Azam ambao pia ni mabingwa wa soka wa Tanzania Bara walishinda kombe hilo katika michuano ya Shirikisho la soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati yaani CECAFA hivi karibuni

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE APOKEA KOMBE LA KAGAME TOKA KWA AZAM FC IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO



 Rais Jakaya Mrisho kikwete pozi na mabingwa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015. Azam ambao pia ni mabingwa wa soka wa Tanzania Bara walishinda kombe hilo katika michuano ya Shirikisho la soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati yaani CECAFA hivi karibuni

 

9 years ago

BBCSwahili

Timu ya Algeria kuwasili kesho

Msafara wa timu ya Taifa ya Algeria unatarajiwa kuwasili Tanzania kesho kwa ndege binafsi ya kukodi, ukiwa na jumla ya watu 65.

 

10 years ago

GPL

YANGA YAJIWINDA NA KOMBE LA KAGAME

Kocha Hans van Pluijm (mwenye kofia) akiwapa maelekezo wachezaji wake. Kocha Msaidizi, Charles Boniface Mkwasa, akitoa maelekezo kwa wachezaji.
Mchezaji mpya wa Yanga, Lansana…

 

10 years ago

Mwananchi

KOMBE LA KAGAME: Lazima tuwanyooshe

>Ni vita leo. Ndivyo unavyoweza kusema pale zinapokutana Yanga na Azam katika mchezo wa robo fainali ya mashindano ya Kagame kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Kombe la Kagame kufanyika Z’bar

CHAMA cha soka Zanzibar (ZFA ) kimethibitisha kuwa Zanzibar itakuwa mwenyeji wa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ‘Kombe la Kagame’ Julai mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani