Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIMU YA NYOTA FC YANYAKUA KOMBE LA NDONDO CUP

Ashura Mohamed-Arusha
Timu ya  Soka ya Nyota  Fc imeichapa timu ya Ambrella Garden Fc  kwa  Magoli  Sita kwa Matano na kufanikiwa kuondoka na kombe la Ndondo Cup  Sambamba na Kitita cha Shilingi  Laki  Tano Taslimu  katika fainali za Ndondo Cup zilizofanyika katika viwanja vya Aicc vilivyopo Jijini Arusha.
Akizungumza wakati wa fainali hizo Naibu meya wa Jiji la Arusha Prosper Msofe alisema kuwa mashindano hayo ya ndondo Cup yamewakutananisha vijana wengi ambao wamepata fursa ya kuonesha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FC KILIMANJARO YA STOCKHOLM YANYAKUA KOMBE LA NATIONAL CUP

TIMU BORA YA WATANZANIA WAISHIO UGHAIBUNI FC KILIMANJARO YA STOCKHOLM IMEFANIKIWA KUNYAKUA KOMBE LA NATIONAL CUP, LILILOMALIZIKA  JUMAPILI JULAI 5, 2015 BAADA YA KUSHINDA MECHI ZAKE ZOTE NANE KATIKA VIWANJA VYA KÄRRTOP IP JIJINI STOCKHOLM.  Kikosi cha Kilimanjaro kikipasha kabla ya mechi kuanza. Wapinzani wa Fc Kilimanjaro ktk semi final.Makapteni wasaidizi wa Fc Kilimanjaro Jamil Jabeer na Ahmed Daddy wakiwa pamoja na mchezaji veteran Andrew  Dudley.  Kapteni msaidizi Jamil Jabeer akipozi...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Zanzibar Diaspora USA Yanyakua Kombe la Muungano Washington DC, Kwa Ushindi wa Mabao 7-1 dhidhi ya Tanganyika

Katika shamrashamra za kusherehekea Miaka 51 kuungana Tanganyika na Zanzibar na kuwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Timu ya Zanzibar Diaspora​ nchini Marekani imeifunga bao jirani zake timu ya Tanganyika USA bao 7-1. Kikosi cha timu ya Tanganyika Tanganyika na Zanzibar kama ishara ya Muungano

 

10 years ago

Vijimambo

Timu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup

Kamanda wa Vijana akikagua timu ya Muembeladu wakati wa mchezo wa mwisho wa Bonaza la Masauni Cup.linalofanyika uwanja wa malindi Zanzibar, Mchezo huo umeshindwa kumalizika kutokana na Viongozi wa timu ya Muembeladu kuitoa timu yao kwa madai ya mchezaji wa timu ya Mkunazini kudaiwa kumpiga mpenzi wa timu hiyo.Kamanda wa Vijana akikagua timu ya Mkunazini wakati wa mchezo wa mwisho wa Bonaza la Masauni Cup.linalofanyika uwanja wa malindi Zanzibar, Mchezo huo umeshindwa kumalizika kutokana na...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup Unguja

Kikosi cha timu ya Mwembeladu kilicho shindwa kumaliza mchezo wao wa mwisho na timu ya Mkunazini timu hii ilihitaji ushindi wa mabao 3--0 ili kuweza kusonga mbele ya Bonaza hilo kuingia nusu fainali, mchezo huo umemalizi kabla ya wakati wake zikiwa zimebaki dakika 4 mchezo kumalizika.  Kikosi cha timu ya Mkunazini kinachotinga Nusu Fainali  usiku wa kuamkia leo  katika viwanja vya Mnazi Mmoja na Timu ya Kikwajuni Juu. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

GPL

FAINALI NDONDO CUP

Kikosi cha Kauzu FC katika ubora wake. Kikosi cha Faru Jeuri. Mmoja wa mashabiki ambaye alikuwa hajui hata majina ya timu zilizokuwa zikicheza. Chibuku na viroba vya pombe kali ilikuwa ndio mpango mzima. Mashabiki wa Kauzu FC, wakati wa mapumziko.…

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

TANZANIA BOYS YANYAKUA KOMBE LA MIAKA 40 YA MSUMBIJI JIJINI MAPUTO

Timu ya vijana Watanzania, Tanzania Boys ilicheza ligi maalum ya kusherehekea miaka 40 ya Uhuru wa Mozambique na kufanikiwa kulichukua kombe hilo baada ya kufikisha pointi 7.Mchezo wa kwanza Tanzania Boys 4 na Laulane Sports 3, mechi ya pili Tanzania Boys 4 Raiva Mfalala 2 na mechi ya mwisho Tanzania Boys 5 na 25 de Setembro 5. Tanzania Boys walimkabidhi kikombe hicho Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe. Shamim Nyanduga ofisini kwake. Timu ya vijana Watanzania, Tanzania Boys iliyocheza...

 

10 years ago

Michuzi

NDONDO CUP YANUKIA JIJINI ARUSHA

Mkoani Arusha mwishoni mwa juma hili kunataraji kufanyika michuano ya NDONDO CUP itakayoshirikisha jumla ya timu nane kutoka mkoani hapa.
Lengo la michuano hiyo ni kuwakutanisha wapenda soka mkoa wa Arusha pamoja na kuwapa nafasi wa  mashabiki wa mchezo huo Mkoani hapa kukutana sehemu moja.
Michuano hii itaanza kutimua vumbi siku ya Ijumaa ya tarehe 24/04/2015 na kufika tamati siku ya jumapili.Mshindi wa kwanza katika michuano hii atapata zawadi ya fedha taslimu shilingi laki tano (500,000)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani