Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FC KILIMANJARO YA STOCKHOLM YANYAKUA KOMBE LA NATIONAL CUP

TIMU BORA YA WATANZANIA WAISHIO UGHAIBUNI FC KILIMANJARO YA STOCKHOLM IMEFANIKIWA KUNYAKUA KOMBE LA NATIONAL CUP, LILILOMALIZIKA  JUMAPILI JULAI 5, 2015 BAADA YA KUSHINDA MECHI ZAKE ZOTE NANE KATIKA VIWANJA VYA KÄRRTOP IP JIJINI STOCKHOLM.  Kikosi cha Kilimanjaro kikipasha kabla ya mechi kuanza. Wapinzani wa Fc Kilimanjaro ktk semi final.Makapteni wasaidizi wa Fc Kilimanjaro Jamil Jabeer na Ahmed Daddy wakiwa pamoja na mchezaji veteran Andrew  Dudley.  Kapteni msaidizi Jamil Jabeer akipozi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TIMU YA NYOTA FC YANYAKUA KOMBE LA NDONDO CUP

Ashura Mohamed-Arusha
Timu ya  Soka ya Nyota  Fc imeichapa timu ya Ambrella Garden Fc  kwa  Magoli  Sita kwa Matano na kufanikiwa kuondoka na kombe la Ndondo Cup  Sambamba na Kitita cha Shilingi  Laki  Tano Taslimu  katika fainali za Ndondo Cup zilizofanyika katika viwanja vya Aicc vilivyopo Jijini Arusha.
Akizungumza wakati wa fainali hizo Naibu meya wa Jiji la Arusha Prosper Msofe alisema kuwa mashindano hayo ya ndondo Cup yamewakutananisha vijana wengi ambao wamepata fursa ya kuonesha...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA BOYS YANYAKUA KOMBE LA MIAKA 40 YA MSUMBIJI JIJINI MAPUTO

Timu ya vijana Watanzania, Tanzania Boys ilicheza ligi maalum ya kusherehekea miaka 40 ya Uhuru wa Mozambique na kufanikiwa kulichukua kombe hilo baada ya kufikisha pointi 7.Mchezo wa kwanza Tanzania Boys 4 na Laulane Sports 3, mechi ya pili Tanzania Boys 4 Raiva Mfalala 2 na mechi ya mwisho Tanzania Boys 5 na 25 de Setembro 5. Tanzania Boys walimkabidhi kikombe hicho Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe. Shamim Nyanduga ofisini kwake. Timu ya vijana Watanzania, Tanzania Boys iliyocheza...

 

11 years ago

Michuzi

UTUMISHI YANYAKUA KOMBE KUPITIA MPIRA WA PETE MASHINDANO YA MEI MOSI 2014

Na. James Katubuka
Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma imetawazwa rasmi kuwa bingwa wa mpira wa Pete wa Mashindano ya Mei Mosi 2014.
Utumishi imefanikiwa kuwa bingwa baada ya kuisambaratisha timu ya Wizara ya Uchukuzi kwa ushindi wa magoli 33 dhidi ya 21. Mchezo huo wa fainali ulifanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Katika mchezo huo mchezaji Fatuma Machenga (GS) wa Ofisi ya Rais Utumishi ndiye aliyekua tishio kwa kuongoza wachezaji wa timu yake kufanikisha ushindi...

 

10 years ago

Michuzi

FC KILIMANJARO YAWABAMIZA WATANI WA JADI KENYA 6-1 KWENYE MECHI MAALUM YA AMANI NA UPENDO JIJINI STOCKHOLM, SWEDEN

Timu ya Tanzania, FC Kilimanjaro ambayo ni mabingwa wa soka la Afrika nchini Sweden imepata ushindi mnono wa mabao 6-1 dhidi ya watani wao wa jadi Kenya kwenye mechi maalum ya kirafiki ya Amani na Upendo iliyofanyika jijini Stockholm jana tarehe 11 Aprili, 2015
Mechi hiyo iliandaliwa kwa pamoja na Balozi za Kenya na Tanzania nchini Sweden kwa kushirikiana na wanadiaspora wa nchi hizo kwa madhumuni ya kuonyesha mshikamano na kuziombea nchi zetu amani na upendo kufuatia matukio ya kigaidi...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Zanzibar Diaspora USA Yanyakua Kombe la Muungano Washington DC, Kwa Ushindi wa Mabao 7-1 dhidhi ya Tanganyika

Katika shamrashamra za kusherehekea Miaka 51 kuungana Tanganyika na Zanzibar na kuwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Timu ya Zanzibar Diaspora​ nchini Marekani imeifunga bao jirani zake timu ya Tanganyika USA bao 7-1. Kikosi cha timu ya Tanganyika Tanganyika na Zanzibar kama ishara ya Muungano

 

11 years ago

Dewji Blog

Mperani FC yanyakua ubingwa wa Kamanda Cup kata ya Kindai Singida kwa kuitandika Munangi mabao 2-0 katika fainali

DSC01284

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa (UVCCM) Taifa kutoka Mkoa wa Singida, Rehema Sombi akimkabidhi Nahodha wa timu ya Soka ya Mperani Fc Maiko Manase Kombe la ubingwa pamoja fedha taslimu shilingi laki moja, Kamanda Cup Kata ya Kindai iliyoandaliwa na Kamanda wa UVCCM wa Kata hiyo Omary Kinyeto.

Na Hillary Shoo, Singida.

TIMU ya soka ya Mperani Fc ya Kata ya Kindai Manispaa ya Singida imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Kamanda baada ya kuichapa timu ya Singida Munangi mabao 2-0.

Katika mchezo...

 

10 years ago

Michuzi

Boda Boda FC ya Karatu yanyakua kombe la virutubishi

Wachezaji wa Boda Boda FC na washabiki wao wakishangilia ushindi baada ya kujinyakulia kombe  la virutubishi katika pambano ililofanyika katika uwanja wa Bondeni wilayani KaratuTimu zenye upinzani wa jadi wilayani Karatu mkoani Arusha za  Boda Boda FC na Young Generation  jana zilikuwa na mpambano mkali wa mchezo  wa soka ambapo timu ya Boda Boda iliibuka na  ushindi wa mabao 2-1.
Mechi hiyo ambayo ilichezwa katika uwanja wa Bondeni chini ya udhamini wa  Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanga yainyuka Kilimanjaro kombe la Taifa

Timu ya Mkoa wa Tanga imeichapa Kilimanjaro 2-0 katika mchezo wa kusaka vipaji uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

9 years ago

Michuzi

Fella Akabidhi Kombe kwa Mshidi wa Mpinga Cup, Temeke

_DSC0018Mashindano ya mpinga cup, fainali zake zimemalizika jana jioni kwa mtanange uliozikutanisha timu ya Oxford ya Mbagala Majimatitu dhidi ya Gussepe FC  ya Mzambarauni, ambapo matokeo yalikwenda vyema kwa timu Gusepe kwa kuwachapa wapinzani wao Bao 4 kwa 2 zilizopatikana kwa Mikwaju ya penati.
Hivyo mshindi wa kwanza katika fainali hizo alijinyakulia Ng'ombe mzima, huku Mshindi wa pili Oxford alizawadiwa Mbuzi na mshindi wa tatu Kazembe boys wamechukua Jezi pea moja. 
Mgeni rasmi katika fainali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani