Mperani FC yanyakua ubingwa wa Kamanda Cup kata ya Kindai Singida kwa kuitandika Munangi mabao 2-0 katika fainali
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa (UVCCM) Taifa kutoka Mkoa wa Singida, Rehema Sombi akimkabidhi Nahodha wa timu ya Soka ya Mperani Fc Maiko Manase Kombe la ubingwa pamoja fedha taslimu shilingi laki moja, Kamanda Cup Kata ya Kindai iliyoandaliwa na Kamanda wa UVCCM wa Kata hiyo Omary Kinyeto.
Na Hillary Shoo, Singida.
TIMU ya soka ya Mperani Fc ya Kata ya Kindai Manispaa ya Singida imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Kamanda baada ya kuichapa timu ya Singida Munangi mabao 2-0.
Katika mchezo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog15 May
Kamanda wa UVCCM kata ya Kindai akabidhi vifaa vya michezo kwa vijana
Kamanda wa (UVCCM) Kata ya Kindai, Omary Kinyeto (kushoto) akimkabidhi vifaa kwa Manahodha wa timu za soka ya Mperani Fc, Mahembe Fc, Munangi Boys na Kindai Boys wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa kwa timu nne kwenye ofisi ya CCM ya Kata ya Kindai Manispaa Singida .
Kamanda wa (UVCCM) Kata ya Kindai, Omary Kinyeto akizungumza na vijana ofisi ya CCM Kata ya kindai Manispaa ya Singida.(PICHA ZOTE NA HILLARY SHOO).
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
VIJANA nchini wametakiwa kutambua kuwa...
10 years ago
Dewji Blog27 Jul
Mchakato wa kuomba kura za maoni katika jimbo la Singida mjini likiendelea katika kata mbalimbali kwa wagombea kujinadi
Mmoja wa wagombea ubunge jimbo la Singida Mjini, Hasan Mazala akiomba kura kata ya kajengo jana.
Mazala akiomba kura.
Amani Rai mmoja wa wagombea Jimbo la Singida mjini akimwaga serra zake kata ya majengo.
Mpiga picha na mwandishi wa habari Leah Samike nae amejitosa kuwania Ubunge Singida mjini.
Mmoja wa wananchi wa Majengo, Hamson Mrecha akiuliza swali mgombea.
Yage Kiaratu mmoja wa wagombea nafasi ya Udiwani Kata ya Majengo akiomba kura.
10 years ago
MichuziTimu ya Zanzibar Diaspora USA Yanyakua Kombe la Muungano Washington DC, Kwa Ushindi wa Mabao 7-1 dhidhi ya Tanganyika
10 years ago
VijimamboKAMANDA MPIGA AFUNGUA NUSU FAINALI MASHINDANO YA SOKA YA BODABODA (MPINGA CUP)
10 years ago
MichuziKAMANDA MPINGA AFUNGUA NUSU FAINALI MASHINDANO YA SOKA YA BODABODA (MPINGA CUP)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-xuurRi7yWz8/VVLVMVbQK1I/AAAAAAAA9I8/v68gm4rZISs/s72-c/AD%2B1.jpg)
FC BARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA KWA JUMLA YA MABAO 5-3
![](http://4.bp.blogspot.com/-xuurRi7yWz8/VVLVMVbQK1I/AAAAAAAA9I8/v68gm4rZISs/s640/AD%2B1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-v_cZztIk9b4/VVLVMzL8GPI/AAAAAAAA9JA/Lwi0k5pFE4Y/s640/AD%2B2.jpg)
Wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani wa Allianz Arena uliofurika mashabiki wenye pumzi ya kushangilia bila kuchoka, Bayern waliokuwa na kibarua cha kuifunga Barcelona mabao 4-0 ili wasonge mbele hatua ya fainali, walijikuta wakimaliza dakika 90 za mchezo huo wakiwa na ushindi...
5 years ago
MichuziMAFURIKO YASABABISHA MABWAWA YA KINDAI NA SINGIDAMUNANGI KUFUNGA BARABARA YA MWAJA MKOANI SINGIDA
Wananchi wakipita katika maji baada ya barabara ya Mwaja kujaa maji na kufungwa na Serikali kufuatia mabwawa ya Kindai na Singidamunangi kukumbwa na mafuriko Manispaa ya Singida jana.
Wananchi wakipanda mtumbwi katika eneo la tukio.
Wananchi wakivushwa kwa mtumbwi.
Kibao cha tahadhari cha kufungwa kwa barabara hiyo.
Na Ismail Luhamba, Singida
MVUA zinazoendelea kunyesha mkoani SINGIDA zimekata mawasiliano ya barabara ya Mwaja na Manispaa singida.
Katika historia imejirudia ya maziwa haya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Tm-JGzm9ycQ/VUEKoJX2s9I/AAAAAAAC3yg/ziliOytnw00/s72-c/1.jpg)
TIMU YA NYOTA FC YANYAKUA KOMBE LA NDONDO CUP
Timu ya Soka ya Nyota Fc imeichapa timu ya Ambrella Garden Fc kwa Magoli Sita kwa Matano na kufanikiwa kuondoka na kombe la Ndondo Cup Sambamba na Kitita cha Shilingi Laki Tano Taslimu katika fainali za Ndondo Cup zilizofanyika katika viwanja vya Aicc vilivyopo Jijini Arusha.
Akizungumza wakati wa fainali hizo Naibu meya wa Jiji la Arusha Prosper Msofe alisema kuwa mashindano hayo ya ndondo Cup yamewakutananisha vijana wengi ambao wamepata fursa ya kuonesha...