Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FC BARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA KWA JUMLA YA MABAO 5-3

Timu ya soka ya Bayern Munich ya Ujerumani usiku wa kuamkia leo wameshuhudia wakishindwa kufuzu kucheza fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya baada ya kujikuta wakiondolewa na FC Barcelona kwa jumla ya mababo 5-3. 
Wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani wa Allianz Arena uliofurika mashabiki wenye pumzi ya kushangilia bila kuchoka, Bayern waliokuwa na kibarua cha kuifunga Barcelona mabao 4-0 ili wasonge mbele hatua ya fainali, walijikuta wakimaliza dakika 90 za mchezo huo wakiwa na ushindi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Neymar, Luis Suarez na Lionel Messi wakishangilia bao. BARCELONA imefanikiwa kufuzu hatua ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kufungwa mabao 3-2 na Bayern Munich usiku huu jijini Munich nchini Ujerumani. Thomas Muller akiifungia Bayern bao la tatu usiku huu. Barcelona imefuzu kwa jumla ya mabao 5-3 baada ya kupata ushindi wa 3-0 katika mechi yao ya kwanza ya nusu fainali dhidi ya Bayern huko Hispania.… ...

 

11 years ago

GPL

ATLETICO MADRID YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Diego Costa (kushoto) akishangilia na Koke baada ya kufunga bao la pili kwa mkwaju wa penalti. Fernando Torres (kulia) na Samuel Eto'o wakiwa hawaamini kilichowasibu. Kushoto ni Ramires.…

 

11 years ago

GPL

BARCELONA, PSG ZATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Lionel Messi akishangilia na wachezaji wenzake wa Barcelona baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 67. Pablo Zabaleta wa Man City akitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kupewa kadi ya pili ya njano.…

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA JUVENTUS YATINGA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA BAADA YA KUIONDOSHA REAL MADRID

Mabingwa watetezi wa kombe la ligi ya mabingwa barani Ulaya, timu ya soka ya Real Madrid ya Hispania usiku wa kuamkia leo wamevuliwa ubingwa huo na bibi kizee cha Turin, Juventus ya Italia baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1. 
Katika mchezo huo wa marudiano wa hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya, Juventus imesonga mbele kwa idadi ya mabao 3-2. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Italia, Juventus iliifunga Real Madrid magoli 2-1. Katika mchezo wa usiku wa kuamkia leo,...

 

10 years ago

GPL

BAYERN MUNICH, BARCELONA ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao dhidi FC Porto jana. Neymar (juu) akishangilia na Mbrazil mwenzake Dani Alves baada ya kufunga bao la pili jana. Robert Lewandowski akiifungia Bayern bao la tatu dakika ya 27.…

 

10 years ago

GPL

BAYERN MUNICH KUKWAANA NA BARCELONA KATIKA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO

MECHI:     Bayern Munich vs Barcelona LIGI:         Ligi ya Mabingwa Ulaya HATUA:    Nusu Fainali MUDA:     Saa 3:45 usiku UWANJA: Allianz Arena

 

10 years ago

GPL

BARCELONA WATWAA KOMBE LA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Wachezaji wa Barcelona wakisherehekea ushindi wao wa 3-1 dhidi ya Juventus. KLABU ya Barcelona imetwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Juventus mabao 3-1 katika fainali iliyopigwa nchini Ujerumani usiku wa kuamkia leo. Mabao ya mabingwa hao yaliwekwa kimiani na Ivan Rakitic, Luis Suarez na…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani