BARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Neymar, Luis Suarez na Lionel Messi wakishangilia bao. BARCELONA imefanikiwa kufuzu hatua ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kufungwa mabao 3-2 na Bayern Munich usiku huu jijini Munich nchini Ujerumani. Thomas Muller akiifungia Bayern bao la tatu usiku huu. Barcelona imefuzu kwa jumla ya mabao 5-3 baada ya kupata ushindi wa 3-0 katika mechi yao ya kwanza ya nusu fainali dhidi ya Bayern huko Hispania.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
FC BARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA KWA JUMLA YA MABAO 5-3


Wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani wa Allianz Arena uliofurika mashabiki wenye pumzi ya kushangilia bila kuchoka, Bayern waliokuwa na kibarua cha kuifunga Barcelona mabao 4-0 ili wasonge mbele hatua ya fainali, walijikuta wakimaliza dakika 90 za mchezo huo wakiwa na ushindi...
11 years ago
GPL
ATLETICO MADRID YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
11 years ago
GPL
BARCELONA, PSG ZATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
10 years ago
GPL
10 years ago
Vijimambo
TIMU YA JUVENTUS YATINGA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA BAADA YA KUIONDOSHA REAL MADRID


Katika mchezo huo wa marudiano wa hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya, Juventus imesonga mbele kwa idadi ya mabao 3-2. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Italia, Juventus iliifunga Real Madrid magoli 2-1.

10 years ago
GPL
BAYERN MUNICH, BARCELONA ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
10 years ago
GPL
BAYERN MUNICH KUKWAANA NA BARCELONA KATIKA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO
10 years ago
GPL
BARCELONA WATWAA KOMBE LA LIGI YA MABINGWA ULAYA
10 years ago
GPL