Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RATIBA YA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BAYERN MUNICH, BARCELONA ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao dhidi FC Porto jana. Neymar (juu) akishangilia na Mbrazil mwenzake Dani Alves baada ya kufunga bao la pili jana. Robert Lewandowski akiifungia Bayern bao la tatu dakika ya 27.…

 

10 years ago

GPL

BAYERN MUNICH KUKWAANA NA BARCELONA KATIKA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO

MECHI:     Bayern Munich vs Barcelona LIGI:         Ligi ya Mabingwa Ulaya HATUA:    Nusu Fainali MUDA:     Saa 3:45 usiku UWANJA: Allianz Arena

 

10 years ago

Vijimambo

NANI KWENDA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO, NI BINGWA MTETEZI REAL MADRID AU ATLETICO MADRID

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti ( mwenye kofia ) akifuatilia mazoezi ya wachezaji wake kabla ya kurudiana na Atletico Madrid leo usiku.Wachezaji wa Real Madrid ( kutoka kushoto kwenda kulia ) Daniel Carvajal, Marcelo Vieira na Sami Khedira wakijifua tayari kuwakabili wapinzani wao Atletico Madrid leo usiku.
Baada ya mchezo watakumbatiana hivi!!! Kocha wa Real Madrd Carlo Ancelotti( kushoto ) akiwa na kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone. 
Robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya...

 

9 years ago

Bongo5

Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya leo November 3

article-3300866-2E0A384000000578-957_636x412Ligi ya Mabingwa Ulaya itaendelea usiku wa Jumanne katika viwanja mbalimbali barani Ulaya. Baahi ya mechi hizo ni Real Madrid itaikaribisha Paris Saint-Germain katika dimba la Santiago Bernabeu, huku Man United ikiwa Old Trafford kumenyana na CSKA Moscow. Mechi za leo Jumanne Real Madrid v Paris St G 21:45 Man Utd v CSKA 21:45 Sevilla […]

 

9 years ago

Bongo5

Ifahamu ratiba ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya, September 30

Hii ni ratiba nyingine ya mechi za ligi ya mabingwa barani Ulaya zitakazochezwa Jumatano hii, September 30 baada ya jana kupigwa michezo kadhaa. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA na ratiba ya leo

Champions-League

Ligi ya Mabingwa barani Ulaya iliendelea jana kwa michezo nane (8) iliyopigwa katika viwanja nane tofauti. Yafuatayo ni matokeo ya michezo hiyo;

GROUP A;

Real Madrid 1 – 0 Paris Saint-German  

Shakhtar Donetsk 4 – 0 Malmo  

GROUP B;

Manchester United 1 – 0 CSKA Moscow

PSV Eindhoven 2 – 0 Wolfsburg     

GROUP C;

FC Astana 0 – 0 Atletico Madrid  

Benfica 2 – 1 Galatasaray   

GROUP D;

Borussia Moenchengladbach 1 – 1 Juventus 

Sevilla 1 – 3 Manchester City 

Ratiba ya michezo ya Ligi ya Mabingwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani