Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kombe la FA:Arsenal kuchuana na Reading

Kiungo wa kati wa Arsenal Jack Wilshere huenda akaanzishwa kwa mara ya kwanza baada ya kupona jeraha la kifundo cha mguu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Reading kupambana na Arsenal FA

Timu ya Reading imefanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe la FA baada ya kuibandua Bradford 3-0

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal kuchuana na Liverpool

Arsenal itamkagua mshambuliaji Danny Welbeck ambaye ana jeraha la goti. Steven Gerrard na Martin Skrtel wanahudumia marufuku

 

10 years ago

Michuzi

KOMBE LA MEYA SHINYANGA 2015 LAZINDULIWA,TIMU 18 KUCHUANA, MSHINDI KUONDOKA NA ZAWADI NONO!

Mashindano ya Kombe la Meya Shinyanga 2015 (Pepsi Meya Cup 2015) yamezinduliwa rasmi leo na mkuu wa wilaya ya Shinyanga ndugu Josephine Matiro katika viwanja vya Shycom mjini Shinyanga.
Mashindano hayo ambayo yameandaliwa na mstahiki meya wa manispaa ya Shinyanga Gulam Hafidh Mukadam na kudhaminiwa na kampuni ya Vinywaji baridi ya  Pepsi (SBC Tanzania Ltd) yanashirikisha timu 17 za kata zote za manispaa hiyo na timu ya polisi Shinyanga.
Mashindano ya Kombe la Meya Shinyanga yakihusisha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Man U yatolewa kombe la FA na Arsenal

Timu ya Arsenal usiku wa kuamkia leo imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la FA baada ya kuwalaza mahasimu wao Manchester United kwa jumla ya mabao 2 - 1.

 

11 years ago

GPL

ARSENAL BINGWA FA, NI BAADA YA MIAKA 9 BILA KOMBE!

Arsenal wametwaa kombe la FA baada ya kukaa miaka tisa bila kombe lolote. Wametwaa ndoo hiyo kwa kuifunga Hull City bao 3-2 katika muda wa nyongeza baada ya sare ya 2-2 katika muda wa kawaida kwenye Uwanja wa Wembley usiku huu. Wafungaji Arsenal: Carzola dakika ya 17, Koscielny dakika ya 71 na Ramsey dakika ya 109 wakati ya Hull City yakifungwa na Chester dakika ya 4 na Davies dakika ya 8. ...

 

10 years ago

GPL

ARSENAL YATWAA KOMBE LA FA KWA KUICHAPA ASTON VILLA 4-0

Mabingwa mara 12 wa Kombe la FA, Arsenal baada ya ushindi wa leo dhidi ya Aston Villa. Arsenal wakisherehekea ubingwa wao wa FA. Theo Walcott akiifungia Arsenal bao la kwanza katika…

 

10 years ago

GPL

FAINALI KOMBE LA FA ARSENAL INATAKA REKODI KWA ASTON VILLA

London,England ARSENAL leo Jumamosi inacheza fainali yake ya 19 ya Kombe la FA huku ikiwa na rekodi ya kuwa kinara wa kutwaa mara nyingi taji hilo sambamba na Manchester United ikiwa imetwaa mara 11.Klabu hii ya London, kwenye Uwanja wa Wembley inacheza na Aston Villa ya jijini Birmingham. Mshambuliaji wa Arsenal, Alex Sanchez. Hadi inafikia hatua ya kucheza fainali, Arsenal iliitoa Reading katika nusu fainali wakati Aston Villa...

 

10 years ago

Vijimambo

ARSENAL YA WAGALAGAZA ASTON VILLA NA KUNYAKUWA KOMBE LA FA KWA MARA YA 12


Theo Walcott akiifungia Arsenal bao la kwanza katika dakika ya 40.
Walcott akishangilia bao hilo.
Arsenal wakisherehekea ubingwa wao wa FA.
Theo Walcott akiifungia Arsenal bao la kwanza katika…
Mabingwa mara 12 wa Kombe la FA, Arsenal baada ya ushindi wa leo dhidi ya Aston Villa.
Arsenal wakisherehekea ubingwa wao wa FA.
Alexis Sanchez (kushoto) akipiga shuti lililojaa wavuni na kuiandikia Arsenal bao la pili.
Per Mertesacker akipiga mpira wa kichwa uliozaa bao la tatu kwa Arsenal.
Olivier Giroud...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani