Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUMA PINTO MGENI RASMI KATIKA BONANZA LA TASWA ARUSHA

  picha ikionyesha katibu wa chama cha waandishi wa habari  Mussa Juma  akiwa  na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za michezo, Arusha (TASWA) Jamila Omary wakiwa wana pokea cheki ya  shilingi   milioni moja na laki tano  kutoka kwa meneja masoko wa  Megatrade  Gudluck Kwayu katika ukumbi wa hoteli ya palace mkoani Arusha.  katibu wa taswa wa kwanza  kushoto  Musa juma akiwa anaongea na waandishi wa habari kuhusiana na bonanza la taswa linalotarajiwa kufanyika jumamosi katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

AJTC yang’ara bonanza la Taswa Arusha

TIMU ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha (AJTC), kimefanikiwa kung’ara kwenye bonanza la Kanda ya Kaskazini lililoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Mkoa wa...

 

9 years ago

Habarileo

RC mgeni rasmi bonanza la wanahabari

MKUU wa Mkoa (RC) wa Arusha, Felix Ntibenda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la 10 la Vyombo vya Habari vya Mkoa wa Arusha litakalofanyika kesho kwenye Uwanja wa Shekhe Amri Abeid.

 

9 years ago

Habarileo

Rashid mgeni rasmi bonanza la selimundu

WAZIRI wa Afya, Dk Seif Rashid anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa bonanza maalumu kwa ajili ya kuhamasisha watanzania kwa upimaji wa selimundu. Katika bonanza hilo wasanii Banana Zoro, Mwana Fa, Yvonne Cherry (Monalisa), Wema Sepetu na mwanamitindo maarufu aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 1998, Basila Mwanukuzi watapamba.

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA ARUSHA FELIX NTIBENDA KUWA MGENI RASMI KATIKA TAMASHA LA 10 LA VYOMBO VYA HABARI

Na Woinde Shizza,Arusha
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda,anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la 10 la vyombo vya habari  vya mkoa wa Arusha. ambalo litafanyika Agosti 29 katika uwanja wa sheikh Amri Abeid.
Akizungumza na waandishi wa habari Palace hoteli jana  mwenyekiti wa TASWA mkoa wa Arusha, Jamila Omar  na Katibu wa TASWA Arusha,  Mussa Juma walisema maandalizi yote muhimu yamekamilika ikiwepo ujio wa timu ya TASWA kutoka jijini Dar es Salaam.
Omar alisema Kauli mbiu ya Mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN KUWA MGENI RASMI UTOAJI TUZO ZA TASWA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika utoaji wa tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania Ijumaa wiki hii.
Tuzo hizo zinaandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) na mwaka huu zimedhaminiwa na Selcom Wireless, Said Salim Bakhresa & Co Ltd - Bakhresa Group, IPTL, mifuko ya hifadhi ya jamii, PSPF na NSSF.
TASWA inaishukuru Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ushirikiano wake na kukubali Rais Dk. Shein...

 

11 years ago

Michuzi

Ally Fereji Tamim mgeni rasmi Zanzibar Beach Soccer Bonanza, Agosti 2

 Na Andrew ChaleTAASISI ya  Mwangaza wa buradani Zanzibar  (Zanzibar Light Entertainment ) ya mjini Unguja,  Zanzibar, kupitia vyombo vya habari, imemtangaza rasmi , Raisi mstaafu wa  Chama cha Soka  Zanzibar, (Zanzibar Football Association-ZFA) Mzee Ally Fereji Tamim  kuwa mgeni rasmi kwenye michuano maalum ya soka la ufukweni  lijulikanayo kama  (Zanzibar Beach Soccer Championship Bonanza) linalotarajiwa kufanyika Agosti  Mbili mwaka huu katika fukwe za  Nungwi.Kwa mujibu wa taarifa yao...

 

11 years ago

Daily News

Pinto, Mhando retain TASWA posts


Pinto, Mhando retain TASWA posts
Daily News
JUMA Pinto and Amir Mhando were re-elected Tanzania Sports Writers Association (TASWA) chairman and secretary general respectively for another three-year term. The duo were unopposed at the election held peacefully at the NSSF Water Front in Dar es ...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR. ALI MOHAMMED SHEIN MGENI RASMI TUZO ZA TASWA USIKU HUU

0001Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein akikabidhi tuzo ya heshima ya mwanamichezo bora wa mwaka kwa Mama Fatma Karume Mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyotolewa na Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Usiku huu. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA Bw. Juma Pinto.)003Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani