Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC mgeni rasmi bonanza la wanahabari

MKUU wa Mkoa (RC) wa Arusha, Felix Ntibenda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la 10 la Vyombo vya Habari vya Mkoa wa Arusha litakalofanyika kesho kwenye Uwanja wa Shekhe Amri Abeid.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Rashid mgeni rasmi bonanza la selimundu

WAZIRI wa Afya, Dk Seif Rashid anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa bonanza maalumu kwa ajili ya kuhamasisha watanzania kwa upimaji wa selimundu. Katika bonanza hilo wasanii Banana Zoro, Mwana Fa, Yvonne Cherry (Monalisa), Wema Sepetu na mwanamitindo maarufu aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 1998, Basila Mwanukuzi watapamba.

 

11 years ago

Michuzi

JUMA PINTO MGENI RASMI KATIKA BONANZA LA TASWA ARUSHA

  picha ikionyesha katibu wa chama cha waandishi wa habari  Mussa Juma  akiwa  na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za michezo, Arusha (TASWA) Jamila Omary wakiwa wana pokea cheki ya  shilingi   milioni moja na laki tano  kutoka kwa meneja masoko wa  Megatrade  Gudluck Kwayu katika ukumbi wa hoteli ya palace mkoani Arusha.  katibu wa taswa wa kwanza  kushoto  Musa juma akiwa anaongea na waandishi wa habari kuhusiana na bonanza la taswa linalotarajiwa kufanyika jumamosi katika...

 

11 years ago

Michuzi

Ally Fereji Tamim mgeni rasmi Zanzibar Beach Soccer Bonanza, Agosti 2

 Na Andrew ChaleTAASISI ya  Mwangaza wa buradani Zanzibar  (Zanzibar Light Entertainment ) ya mjini Unguja,  Zanzibar, kupitia vyombo vya habari, imemtangaza rasmi , Raisi mstaafu wa  Chama cha Soka  Zanzibar, (Zanzibar Football Association-ZFA) Mzee Ally Fereji Tamim  kuwa mgeni rasmi kwenye michuano maalum ya soka la ufukweni  lijulikanayo kama  (Zanzibar Beach Soccer Championship Bonanza) linalotarajiwa kufanyika Agosti  Mbili mwaka huu katika fukwe za  Nungwi.Kwa mujibu wa taarifa yao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete kuwa mgeni rasmi Bonanza la Maveteran wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Aprili 4-5, mwaka huu

DSCN9207

Mwenyekiti wa Klabu ya Maveteran, Mussa Kisoky (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wao juu ya Bonanza hilo la Maveteran wa Afrika Mashariki hiyo Aprili 4 hadi 5, mwaka huu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Mtemi Ramadhani  na kwa upande wa kulia ni, Lawarence Mwalusako, tukio lililofanyika katika ukumbi wa Idara habari MAELEZO, jijini Dar es Salaam (Picha na Andrew Chale).

DSCN9210

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

RAIS wa Jamhuri ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ally Fereji mgeni Zanzibar Beach Soccer Bonanza

TAASISI ya  Mwangaza wa Burudani Zanzibar, maarufu kama Zanzibar Light Entertainment, Imemteua Rais mstaafu wa Chama cha Soka  Zanzibar (ZFA), Ally Fereji Tamim, kuwa mgeni rasmi katika michuano ya soka...

 

11 years ago

GPL

MAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS, PROFESA ANNA TIBAIJUKA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIZO

Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi wa pili kutoka kulia pamoja na Babu wa Kijiji cha Maisha Plus akiwasalimia akina mama Shujaa wa Chakula ambao wameingia Rasmi Kijiji cha Maisha Plus Jana usiku. Akina Mama Shujaa wa Chakula Wakiwa wanamuimbia wimbo maalum Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi mara baada ya kuwasili Kijijini… ...

 

5 years ago

Michuzi

MGENI, MGENII MGENI HUYU MGENI, ANAUA WAZEE, VIJANA MPAKA WATOTO

Charles James, Michuzi TVMWANZONI mwa miaka ya 2000 Lejendi wa Muziki, Marehemu Kapteni John Komba na Bendi yake ya TOT waliingia 'booth' kurekodi ngoma waliyoipa jina la Mgeni.
Mgeni ulikua ni wimbo ambao ulimuelezea mgeni (Ukimwi) ambaye alikua ameingia kwa kasi nchini huku akiua watu kwa fujo. Wazee, Vijana hadi Watoto walikua wahanga wa mgeni huyu. 
Sogea hapa; Mwishoni mwa mwaka jana, Desemba 31, 2019 watu walikesha wakifurahia kuuaga mwaka huo na kuukaribisha mwaka mpya wa 2020.
Watu...

 

10 years ago

Habarileo

JK mgeni rasmi mkutano wa ALAT

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) utakaokwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 30 ya jumuiya hiyo, kwa kupokea maandamano na pia kutoa tuzo kwa viongozi bora wa Serikali za Mitaa nchini.

 

9 years ago

Habarileo

JK mgeni rasmi Tamasha la Amani

RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Kuombea Amani nchini litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumapili wiki hii. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, Rais Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi siku hiyo katika tamasha la kuombea amani Tanzania kuelekea katika Uchaguzi Mkuu mwezi ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani