Ally Fereji mgeni Zanzibar Beach Soccer Bonanza
TAASISI ya Mwangaza wa Burudani Zanzibar, maarufu kama Zanzibar Light Entertainment, Imemteua Rais mstaafu wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA), Ally Fereji Tamim, kuwa mgeni rasmi katika michuano ya soka...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zsoS9GwDsiE/U8BFL6GX2WI/AAAAAAAF1RI/xCS7PCIYKqI/s72-c/unnamed+(23).jpg)
Ally Fereji Tamim mgeni rasmi Zanzibar Beach Soccer Bonanza, Agosti 2
![](http://1.bp.blogspot.com/-zsoS9GwDsiE/U8BFL6GX2WI/AAAAAAAF1RI/xCS7PCIYKqI/s1600/unnamed+(23).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CUA-A5T1Fz0/U8mFwzT0_sI/AAAAAAAF3kI/dGURx-gOthY/s72-c/unnamed+(22).jpg)
ZANZIBAR BEACH SOCCER KUCHEZWA KENDWA ROCK'S HOTEL BEACH
Kwa mujibu wa taarifa yao hiyo kwa vyombo vya habari, iliyotolewa na Mwandaaji wa michezo hiyo, Muslim Nassor ‘Jazzphaa’ ilieleza kuwa, kamati ya...
10 years ago
Mwananchi20 Dec
‘Beach Band Bonanza’
9 years ago
Habarileo28 Aug
RC mgeni rasmi bonanza la wanahabari
MKUU wa Mkoa (RC) wa Arusha, Felix Ntibenda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la 10 la Vyombo vya Habari vya Mkoa wa Arusha litakalofanyika kesho kwenye Uwanja wa Shekhe Amri Abeid.
10 years ago
Vijimambo17 Feb
Tanzania yaichapa Kenya -Beach Soccer .
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/14/150114141132_beach_soccer_512x288_bbc_nocredit.jpg)
Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu wa Ufukweni (Beach Soccer) jana imeibuka na ushindi wa mabao 5- 3 ugenini dhidi wa wenyeji timu ya Taifa ya Kenya kwenye mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa fukwe za Hotel ya Big Tree Pirates jijini Mombasa.Katika mchezo huo mabao ya Tanzania yalifungwa na Ali Rabbi mabao manne na Mwalimu Akida bao moja .
Kipindi cha kwanza kilimazika kwa Tanzania kupata mabao 2 Kenya 1, kipindi cha pili kilimalizika Tanzania 4...
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Tanzania kuikabili kenya beach soccer
9 years ago
Habarileo20 Aug
Rashid mgeni rasmi bonanza la selimundu
WAZIRI wa Afya, Dk Seif Rashid anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa bonanza maalumu kwa ajili ya kuhamasisha watanzania kwa upimaji wa selimundu. Katika bonanza hilo wasanii Banana Zoro, Mwana Fa, Yvonne Cherry (Monalisa), Wema Sepetu na mwanamitindo maarufu aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 1998, Basila Mwanukuzi watapamba.
11 years ago
Tanzania Daima22 May
DIT, CBE kucheza fainali ‘beach soccer’
FAINALI ya michuano ya soka ya ufukweni (Beach Soccer), kati ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), inatarajiwa kuchezwa kwenye ufukwe wa...