Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ally Fereji Tamim mgeni rasmi Zanzibar Beach Soccer Bonanza, Agosti 2

 Na Andrew ChaleTAASISI ya  Mwangaza wa buradani Zanzibar  (Zanzibar Light Entertainment ) ya mjini Unguja,  Zanzibar, kupitia vyombo vya habari, imemtangaza rasmi , Raisi mstaafu wa  Chama cha Soka  Zanzibar, (Zanzibar Football Association-ZFA) Mzee Ally Fereji Tamim  kuwa mgeni rasmi kwenye michuano maalum ya soka la ufukweni  lijulikanayo kama  (Zanzibar Beach Soccer Championship Bonanza) linalotarajiwa kufanyika Agosti  Mbili mwaka huu katika fukwe za  Nungwi.Kwa mujibu wa taarifa yao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ally Fereji mgeni Zanzibar Beach Soccer Bonanza

TAASISI ya  Mwangaza wa Burudani Zanzibar, maarufu kama Zanzibar Light Entertainment, Imemteua Rais mstaafu wa Chama cha Soka  Zanzibar (ZFA), Ally Fereji Tamim, kuwa mgeni rasmi katika michuano ya soka...

 

11 years ago

Michuzi

ZANZIBAR BEACH SOCCER KUCHEZWA KENDWA ROCK'S HOTEL BEACH

Na Andrew ChaleTAASISI ya  Mwangaza wa buradani Zanzibar  (Zanzibar Light Entertainment ) ya mjini Unguja,  Zanzibar, Imemtangaza rasmi  Hotel ya Kendwa Rocks  kuwa eneo litakapofanyika  michuano m aalum ya soka la ufukweni  lijulikanayo kama  (Zanzibar Beach Soccer Championship Bonanza) linalotarajiwa kufanyika Agosti  Mbili mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa yao hiyo  kwa vyombo vya habari, iliyotolewa na Mwandaaji wa michezo hiyo, Muslim Nassor ‘Jazzphaa’  ilieleza kuwa,  kamati ya...

 

9 years ago

Habarileo

RC mgeni rasmi bonanza la wanahabari

MKUU wa Mkoa (RC) wa Arusha, Felix Ntibenda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la 10 la Vyombo vya Habari vya Mkoa wa Arusha litakalofanyika kesho kwenye Uwanja wa Shekhe Amri Abeid.

 

9 years ago

Habarileo

Rashid mgeni rasmi bonanza la selimundu

WAZIRI wa Afya, Dk Seif Rashid anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa bonanza maalumu kwa ajili ya kuhamasisha watanzania kwa upimaji wa selimundu. Katika bonanza hilo wasanii Banana Zoro, Mwana Fa, Yvonne Cherry (Monalisa), Wema Sepetu na mwanamitindo maarufu aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 1998, Basila Mwanukuzi watapamba.

 

11 years ago

Michuzi

JUMA PINTO MGENI RASMI KATIKA BONANZA LA TASWA ARUSHA

  picha ikionyesha katibu wa chama cha waandishi wa habari  Mussa Juma  akiwa  na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za michezo, Arusha (TASWA) Jamila Omary wakiwa wana pokea cheki ya  shilingi   milioni moja na laki tano  kutoka kwa meneja masoko wa  Megatrade  Gudluck Kwayu katika ukumbi wa hoteli ya palace mkoani Arusha.  katibu wa taswa wa kwanza  kushoto  Musa juma akiwa anaongea na waandishi wa habari kuhusiana na bonanza la taswa linalotarajiwa kufanyika jumamosi katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete kuwa mgeni rasmi Bonanza la Maveteran wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Aprili 4-5, mwaka huu

DSCN9207

Mwenyekiti wa Klabu ya Maveteran, Mussa Kisoky (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wao juu ya Bonanza hilo la Maveteran wa Afrika Mashariki hiyo Aprili 4 hadi 5, mwaka huu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Mtemi Ramadhani  na kwa upande wa kulia ni, Lawarence Mwalusako, tukio lililofanyika katika ukumbi wa Idara habari MAELEZO, jijini Dar es Salaam (Picha na Andrew Chale).

DSCN9210

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

RAIS wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Diamond Platinums awa mgeni rasmi Mahafali ya Nane ya shule ya awali na Msingi Rightway, Mbezi Beach

_DSC5609

 Mgeni Mashuhuri katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za shule hiyo   Mgeni Mashuhuri katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums akiwasili katika viwanja vya shule hiyo jana asubuhi  na kukukaribishwa na Meneja wa shule hiyo ya Rightway,...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI CHUO CHA UDAKTARI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa zawadi kwa mwanafunzi bora zaidi ya wote walimaliza masomo ya Udaktari Nadhira Suleiman Said katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja (katikati) Dk.Salhia Ali Muhsin Mratibu wa Chuo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa Mahfali ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar mgeni rasmi kwenye hafla ya kuwaaga wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi alisema kwamba utitiri wa vyuo vikuu bila ya ubora wa elimu inayotolewa ni jambo linalopelekea vyuo hivyo kutoa vijana wasiouzika kiajira katika taasisi mbali mbali za umma na hata zile za binafsi.
Mama Asha Suleiman Iddi alisema hayo wakati wa hafla maalum ya kuagana kwa wana jumuiya ya wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro wa ZAMUMSA ambao wanatarajiwa kumaliza mafunzo yao mwezi Novemba mwaka huu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani