Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Beach Band Bonanza’

Bendi mbalimbali za muziki wa dansi na wasanii wa Bongo Fleva wanatarajia kushiriki katika bonanza  ‘Beach Band Bonanza’ litakalofanyika leo katika Ufukwe wa Azura, Kawe jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FM Academia, Yamoto, Sylight, Mapacha jukwaa moja katika Beach Band Bonanza

BENDI nne nyota nchini, FM Academia, Yamoto, Mapacha na SkyLight zitatumbuiza katika jukwaa moja kwenye tamasha la Beach band Bonanza lililopangwa kufanyika Desemba 20 kwenye ufukwe wa Azura, Kawe darajani.
Bonanza hilo limeandaliwa na kampuni ya Team Mamba na mbali ya bendi hizo nyota, wasanii wa bongo fleva wakiongozwa na Dully Sykes, CPWAA na Damian Soul ambaye atakuja na bendi yake.
Msemaji wa kampuni ya Team Mamba, Doris Godfrey alisema kuwa bonanza hilo lililodhaminiwa Coca-Cola...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ally Fereji mgeni Zanzibar Beach Soccer Bonanza

TAASISI ya  Mwangaza wa Burudani Zanzibar, maarufu kama Zanzibar Light Entertainment, Imemteua Rais mstaafu wa Chama cha Soka  Zanzibar (ZFA), Ally Fereji Tamim, kuwa mgeni rasmi katika michuano ya soka...

 

10 years ago

Michuzi

NHC FAMILY DAY BONANZA LAFANA KUNDUCHI BEACH HOTEL, JIJINI DAR

????????????????????????????????????Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Mawasiliano waNHC, Bi Suzan Omari akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo waliokuwa wakisimamia michezo mbalimbali wakati wa tamasha la NHC Family Day lililofanyika kwenye hoteli ya Kunduchi Beach mwishoni mwa wiki likishirikisha wafanyakazi wa shirika hilo jijini Dar es salaam na familia zao na kufahamiana ikiwani pamoja na kubadilishana mawazo.????????????????????????????????????Wafanyakazi hao wakishindana katika mbio ufukweni.????????????????????????????????????Mmoja wa wafanyakazi wa NHC akiwa...

 

11 years ago

Michuzi

Ally Fereji Tamim mgeni rasmi Zanzibar Beach Soccer Bonanza, Agosti 2

 Na Andrew ChaleTAASISI ya  Mwangaza wa buradani Zanzibar  (Zanzibar Light Entertainment ) ya mjini Unguja,  Zanzibar, kupitia vyombo vya habari, imemtangaza rasmi , Raisi mstaafu wa  Chama cha Soka  Zanzibar, (Zanzibar Football Association-ZFA) Mzee Ally Fereji Tamim  kuwa mgeni rasmi kwenye michuano maalum ya soka la ufukweni  lijulikanayo kama  (Zanzibar Beach Soccer Championship Bonanza) linalotarajiwa kufanyika Agosti  Mbili mwaka huu katika fukwe za  Nungwi.Kwa mujibu wa taarifa yao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band kukinukisha leo kiota cha Escape One katika Sunday Bonanza, usikose!

Sam Mapenzi ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akitoa burudani na kusindikizwa na waimbaji wenzake.

Waimbaji wapya wa Bendi ya Skylight ambao ni Suzy (kushoto) akiimba pamoja na Sarah (kulia) mbele ya mashabiki wao (hawapo pichani)

Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani ya kukata na shoka ndani ya Kiota cha Escape One Jumapili iliyopita, usikose na leo pia.

Mwimbaji wa bendi ya Skylight Natasha akiimba moja ya nyimbo zinazobamba hapa nchini uku akisindikizwa vizuri na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yatikisa jiji la Mwanza Pasaka kwenye kiota kipya cha Jembe Beach Resort

DSC_0028

Wadau wa Jembe Beach Resort ndani ya kiota kipya cha kipekee chenye viwango vya kimataifa wakisubiri kuanza kwa burudani ya Skylight Band ndani ya jiji la Mwanza kwenye sikukuu ya Pasaka.

DSC_0031

Sam Mapenzi wa Skylight Band akishow love na wadau wa ukweli ndani ya Jembe Beach Resort.

DSC_0041

Mdau Rama wa Villa Park ya jijini Mwanza akipata Ukodak na Hellen Kazimoto wa Jembe Beach Resort wakati wa sherehe za Pasaka.

DSC_0052

Counter ya Jembe Beach Resort ikiwa imesheheni vinywaji vya kila aina.

20140420_153642

Mandhari ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band wazidi kulitikisa Jiji la Dar, usikose leo Thai Village na kesho ndani ya JEMBE BEACH jijini Mwanza tamasha la Nyama Choma

IMG-20141023-WA0003

Hashimu Donode akiimba kwa hisia kalii kabisaaa ndani ya Thai Village ili kuwapa burudani mashabiki wake.

Kama kawaida yetu kila ifikapo Ijumaa Bendi yako kali na matata hapa nchini Skylight Band tunakuwepo ndani ya kiota cha maraha Thai Village Masaki, Njoo wewe,yule na wote kuanzia mida ya saa tatu kamili mpaka mida yetu ileeeeeeeee, upate muziki mzuriiii kwenye masikio yako kwa masong makali na mapya toka kwa Timu nzima ya Skylight Band. Sogea sogea pale kati.

Digna Mbepera akiimba kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani