Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Skylight Band yatikisa jiji la Mwanza Pasaka kwenye kiota kipya cha Jembe Beach Resort

DSC_0028

Wadau wa Jembe Beach Resort ndani ya kiota kipya cha kipekee chenye viwango vya kimataifa wakisubiri kuanza kwa burudani ya Skylight Band ndani ya jiji la Mwanza kwenye sikukuu ya Pasaka.

DSC_0031

Sam Mapenzi wa Skylight Band akishow love na wadau wa ukweli ndani ya Jembe Beach Resort.

DSC_0041

Mdau Rama wa Villa Park ya jijini Mwanza akipata Ukodak na Hellen Kazimoto wa Jembe Beach Resort wakati wa sherehe za Pasaka.

DSC_0052

Counter ya Jembe Beach Resort ikiwa imesheheni vinywaji vya kila aina.

20140420_153642

Mandhari ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band wazidi kulitikisa Jiji la Dar, usikose leo Thai Village na kesho ndani ya JEMBE BEACH jijini Mwanza tamasha la Nyama Choma

IMG-20141023-WA0003

Hashimu Donode akiimba kwa hisia kalii kabisaaa ndani ya Thai Village ili kuwapa burudani mashabiki wake.

Kama kawaida yetu kila ifikapo Ijumaa Bendi yako kali na matata hapa nchini Skylight Band tunakuwepo ndani ya kiota cha maraha Thai Village Masaki, Njoo wewe,yule na wote kuanzia mida ya saa tatu kamili mpaka mida yetu ileeeeeeeee, upate muziki mzuriiii kwenye masikio yako kwa masong makali na mapya toka kwa Timu nzima ya Skylight Band. Sogea sogea pale kati.

Digna Mbepera akiimba kwa...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yaendelea kuunguruma ndani ya kiota kipya cha Lukas Pub Masaki, usikose leo

    Ilikuwa noma sana siku ya Ijumaa iliyopita maana ilikuwa sio ya kupitwa basi mchuke na ndugu, jamaa au rafiki yako leo uje kuona vitu vitamu kutoka kwenye Bendi ya Skylight  Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiimba moja ya nyimbo yenye hisia kali sambamba na msanii mwenzake Sam Mapenzi.


Mwimbaji kutoka Bendi ya Skylight, Sony Masamba  akitoa burudani ndani ya kiota cha Lukas Pub huku akisindikizwa na wasanii wenzake ambao ni Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK...

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yarejesha ratiba yake ya burudani kila Ijumaa, sasa ni kiota kipya cha “Lukas PUB” Masaki leo

IMG-20150520-WA0074

Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani).

Ashura Kitenge mwenye sauti ya kumtoa nyoka panoni akiimba kwa hisia kali huku akisindikizwa na Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 Jumamosi iliyopita ndani ya Mzalendo Pub.

Waimbaji wa bendi ya Skylight wakiendelea kutoa burudani ndani ya kijiwe cha Mzalendo jumamosi iliyopita wa kwanza kushoto ni Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower, Meneja wa Skylight Band...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band na Bodaboda Band ya Kidumu yatikisa jiji la Dar Escape One

DSC_0311

Skylight Band wakikamua jukwaani..Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba na Sam Mapenzi  kwenye show maalum ya uzinduzi wa Video yao mpya ya “Kariakoo” uliosoindikizwa na Bodaboda Band ya msanii Kidumu kutoka jijini Nairobi uliofanyika kwenye kiota cha Escape One.

DSC_0308

DSC_0230

Mrembo Neema Mbuya alikuwepo kuwahudumia wageni 100 wa kwanza na Tequila shots.

DSC_0341

wageni wakihudumiwa Tequila shots!

DSC_0368

Divas wa Skylight Band wakiongozwa na Aneth Kushaba AK47 kutoa burudani kwa...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR KWENYE 'NYAMA CHOMA FESTIVAL' NDANI YA VIWANJA VYA POSTA‏

Sam Mapenzi na Sony Masamba wakitoa burudani ya aina yake kwenye tamasha la Nyama Choma lililofanyika Jumamosi hii kwenye vianjwa vya Posta jijini Dar ambapo Skylight Band iliongoza kwa kukusanya mashabiki lukuki. Sam Mapenzi wa Skylight Band akishindana na mmoja wa mashabiki kucheza wimbo wa Davido SKELEWU.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yatikisa jiji la Dar Nyama Choma Festival

DSC_0326

Sam Mapenzi, Joniko Flower na Hashim Donode wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika miwshoni mwa juma katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam.

DSC_0332

Mashabiki wakiwa wameshona kwenye viwanja vya michezo vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Nyama Choma Festival huku Skylight Band wakitoa burudani ya aina yake.

DSC_0010

Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani sambamba na Digna Mbepera kwa mashabiki wa muziki wa Live Band kwenye tamasha la Nyama...

 

9 years ago

Michuzi

NJOO TUSHEHEREKEE PAMOJA KWENYE MKESHA WA EID NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA ESCAPE ONE MIKOCHENI

Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower( kushoto) akiendelea kutoa burudani ya nguvu huku msanii mwenzake Sony Masamba akiendelea kuzirundi ngoma ndani ya kiota cha Escape One, Mikocheni jijini Dar. Usikose leo siku ya Jumatano kwenye mkesha wa EID maana kuna vitu vingi vipya.Mwimbaji wa Bendi ya Skylight, Natasha pamoja na mwenzake Kasongo Junior haya ni Majembe mapya ya bend ya Skylight yenye uwezo mkubwa wa katika uimbaji.Sony Masamba ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani