NJOO TUSHEHEREKEE PAMOJA KWENYE MKESHA WA EID NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA ESCAPE ONE MIKOCHENI
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower( kushoto) akiendelea kutoa burudani ya nguvu huku msanii mwenzake Sony Masamba akiendelea kuzirundi ngoma ndani ya kiota cha Escape One, Mikocheni jijini Dar. Usikose leo siku ya Jumatano kwenye mkesha wa EID maana kuna vitu vingi vipya.
Mwimbaji wa Bendi ya Skylight, Natasha pamoja na mwenzake Kasongo Junior haya ni Majembe mapya ya bend ya Skylight yenye uwezo mkubwa wa katika uimbaji.
Sony Masamba ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog01 May
Njoo tusheherekee Mei Mosi pamoja na Skylight Band leo ndani ya kiota chaThai Village, Masaki
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/DSC_0265.jpg)
NJOO TUSHEHEREKEE MEI MOSI PAMOJA NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHATHAI VILLAGE, MASAKI
9 years ago
Dewji Blog03 Oct
Skylight Band kusindikiza Tamasha la Fahari ya Mwafrika ndani ya kiota cha Escape One leo Jumamosi
9 years ago
GPLSKYLIGHT BAND KUSINDIKIZA TAMASHA LA FAHARI YA MWAFRIKA NDANI YA KIOTA CHA ESCAPE ONE LEO JUMAMOSI
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/DSC_0056.jpg)
NJOO TUCHEZE STYLE YA "YACHUMA CHUMA" NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE
11 years ago
Dewji Blog30 Apr
Usikose mkesha wa May Day leo usiku na Skylight Band ndani ya Escape One
Bendi yako ya kijanja Skylight inakutangazia ratiba yake ya leo kwenye mkesha wa May Day ndani ya Kiota cha Escape One Mikocheni kuanzia saa 2 usiku mpaka kieleweke…Njoo ucheze ma-style ya nguvu ikiwemo style mpya ya “Kikuku Kwiyo-kwiyo”…Just Follow the light!
9 years ago
Dewji Blog08 Nov
Njoo wewe na yule katika ‘Skylight Sunday Bonanza’‬ kiota cha Escape One leo jioni
Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akiwasebenesha sehemu ya mashabiki wao sambamba na Sony Masamba jumapili iliyopita kwenye Skylight Sunday Bonanza kiota cha Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam na hivi leo mwendo ni ule ule na speed 120.(Picha na Geofrey Adroph wa pamoja blog).
Rapa Joniko Flower akichuana na mmoja wa shabiki wa Skylight Band staili mbalimbali za sebene huku mashabiki wengine wakiangalia na kuiga miondoko hiyo.
Msanii Em Evans...
10 years ago
Dewji Blog24 Dec
Skylight Band yatoa ratiba yake ya wiki tukianza na mkesha wa X-MASS usiku wa leo ndani ya Escape One
24.12.14 Mkesha wa XMASS tutakua ESCAPE1, show itaanzaa saa mbili usiku, kiingilio buku 7000/= tu: tukutane ESCAPE1 tuikaribishe XMASS
Vile vile tunapenda kutoa taarifa na kuwaomba radhi wadau wetu kutokana na safari yetu ya kanda ya ziwa XMASS hii, show zetu za ijumaa tarehe 26.12.14 thai village na jumapili 28.12.14 ESCAPE1 hazitofanyika.
Ila tukutane tena kwenye mkesha wa mwaka mpya 31.12.14 ndani ya ESCAPE1. .. Burudika na bendi yako katika msimu huu wa siku kuu…Skylight Band…just...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10