Skylight Band kusindikiza Tamasha la Fahari ya Mwafrika ndani ya kiota cha Escape One leo Jumamosi
Mmiliki wa Skylight Band Dk Sebastian Ndege(Jembe ni Jembe) akicheza moja ya nyimbo ya bendi Skylight. Njoo leo Jumamosi kwenye Show ya Fahari ya Mwafrika itakayofanyika kwenye kiwanja cha Escape One ambapo Skylight Band ikisindikizwa na Msanii machachari Barnaba Classic watadondosha moja ya show kali usisubirie kusimuliwa njoo wewe na yule.
Sam Mapenzi pamoja akiimba kwa hisia kali mbele ya mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani) waliofika kwenye kiota cha Escape One Mikocheni.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSKYLIGHT BAND KUSINDIKIZA TAMASHA LA FAHARI YA MWAFRIKA NDANI YA KIOTA CHA ESCAPE ONE LEO JUMAMOSI
10 years ago
MichuziNJOO TUSHEHEREKEE PAMOJA KWENYE MKESHA WA EID NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA ESCAPE ONE MIKOCHENI
10 years ago
Dewji Blog11 Oct
Skylight Band kukinukisha leo kiota cha Escape One katika Sunday Bonanza, usikose!
Sam Mapenzi ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akitoa burudani na kusindikizwa na waimbaji wenzake.
Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani ya kukata na shoka ndani ya Kiota cha Escape One Jumapili iliyopita, usikose na leo pia.
Mwimbaji wa bendi ya Skylight Natasha akiimba moja ya nyimbo zinazobamba hapa nchini uku akisindikizwa vizuri na...
10 years ago
Dewji Blog01 Nov
Jose Chameleone awapa surprise ya nguvu mashabiki wa Skylight Band, usikose leo kiota cha Escape One
Muimbaji kutoka nchiniUganda Jose Chameleone akiimba kwenye stage ya bendi ya Skylight mara baada ya kupanda kwenye stage hiyo na kuwaacha mashabiki awa bendi hiyo wakitoa shangwe ya nguvu. Njoo leo Skylight imekuandalia suprise za kutosha kutoka katika bendi hii.
Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone (katikati) akiimba kwa hisia moja ya nyimbo yake uku akisindikizwa na waimbaji wa bendi ya Skylight kushoto ni Suzy pamoja na Kasongo Junior (kulia).
Sony Masamba ambaye ni mmoja...
9 years ago
Dewji Blog20 Dec
‘Skylight Sunday Bonanza’‬ ndio habari ya mujini jumapili ya leo ndani kiota cha Escape One
Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akiwasebenesha sehemu ya mashabiki wao Jumapili iliyopita kwenye Skylight Sunday Bonanza kiota cha Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam
Waimbaji wa Bandi ya Skylight, Leah pamoja na Suzy wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Escape One jumapili iliyopita sasa leo sio siku ya kukosa njoo ujionee mambo mapya kutoka kwenye bandi ya Skylight.
Ukafika muda wa kuzungusha mduara na kuona...
10 years ago
Dewji Blog05 Jun
Skylight Band yaendelea kuunguruma ndani ya kiota kipya cha Lukas Pub Masaki, usikose leo
Mwimbaji kutoka Bendi ya Skylight, Sony Masamba akitoa burudani ndani ya kiota cha Lukas Pub huku akisindikizwa na wasanii wenzake ambao ni Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK...
10 years ago
Dewji Blog06 Mar
Skylight Band yaendelea kupiga jalamba, ni kila Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village, sio ya kukosa leo
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ukumbi wa maraha Thai Village Masaki jijini Dar… Ni Ijumaa hii tena watatoa burudani ya aina yake kutoka kwa waimbaji mahiri na wabunifu… Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Ashura Kitenge na Sony Masamba.
Binti mrembo mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni Ashura Kitenge akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti...
10 years ago
GPL
SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUPIGA JALAMBA, NI KILA IJUMAA NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE, SIO YA KUKOSA LEO