Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SKYLIGHT BAND KUSINDIKIZA TAMASHA LA FAHARI YA MWAFRIKA NDANI YA KIOTA CHA ESCAPE ONE LEO JUMAMOSI‏

Mmiliki wa Skylight Band Dk Sebastian Ndege (Jembe ni Jembe) akicheza moja ya nyimbo ya bendi Skylight. Njoo leo Jumamosi kwenye Show ya Fahari ya Mwafrika itakayofanyika kwenye kiwanja cha Escape One ambapo Skylight Band ikisindikizwa na Msanii machachari Barnaba Classic watadondosha moja ya show kali usisubirie kusimuliwa njoo wewe na yule.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Skylight Band kusindikiza Tamasha la Fahari ya Mwafrika ndani ya kiota cha Escape One leo Jumamosi

Mmiliki wa Skylight Band Dk Sebastian Ndege(Jembe ni Jembe) akicheza moja ya nyimbo ya bendi Skylight. Njoo leo Jumamosi kwenye Show ya Fahari ya Mwafrika itakayofanyika kwenye kiwanja cha Escape One ambapo Skylight Band ikisindikizwa na Msanii machachari Barnaba Classic watadondosha moja ya show kali usisubirie kusimuliwa njoo wewe na yule.   Sam Mapenzi pamoja akiimba kwa hisia kali mbele ya mashabiki  wa bendi hiyo (hawapo pichani) waliofika kwenye kiota cha Escape One Mikocheni.

 

9 years ago

Michuzi

NJOO TUSHEHEREKEE PAMOJA KWENYE MKESHA WA EID NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA ESCAPE ONE MIKOCHENI

Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower( kushoto) akiendelea kutoa burudani ya nguvu huku msanii mwenzake Sony Masamba akiendelea kuzirundi ngoma ndani ya kiota cha Escape One, Mikocheni jijini Dar. Usikose leo siku ya Jumatano kwenye mkesha wa EID maana kuna vitu vingi vipya.Mwimbaji wa Bendi ya Skylight, Natasha pamoja na mwenzake Kasongo Junior haya ni Majembe mapya ya bend ya Skylight yenye uwezo mkubwa wa katika uimbaji.Sony Masamba ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight...

 

10 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUPIGA JALAMBA, NI KILA IJUMAA NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE, SIO YA KUKOSA LEO‏

Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ukumbi wa maraha Thai Village Masaki jijini Dar... Ni Ijumaa hii tena watatoa burudani ya aina yake kutoka kwa waimbaji mahiri na wabunifu... Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Ashura Kitenge na Sony Masamba. … ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Skylight Band kukinukisha leo kiota cha Escape One katika Sunday Bonanza, usikose!

Sam Mapenzi ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akitoa burudani na kusindikizwa na waimbaji wenzake.

Waimbaji wapya wa Bendi ya Skylight ambao ni Suzy (kushoto) akiimba pamoja na Sarah (kulia) mbele ya mashabiki wao (hawapo pichani)

Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani ya kukata na shoka ndani ya Kiota cha Escape One Jumapili iliyopita, usikose na leo pia.

Mwimbaji wa bendi ya Skylight Natasha akiimba moja ya nyimbo zinazobamba hapa nchini uku akisindikizwa vizuri na...

 

11 years ago

GPL

NJOO TUCHEZE STYLE YA "YACHUMA CHUMA" NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE‏

Video mpya ya nyimbo ya Kariakoo ya Skylight Band...Enjoy. Aneth Kushaba AK47 (wa pili kushoto) akiongoza waimbaji wa Skylight Band kutoa burudani burudani kwa mashabiki wao kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Skylight Band na staili yao ya “Yachuma chuma” kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Jose Chameleone awapa surprise ya nguvu mashabiki wa Skylight Band, usikose leo kiota cha Escape One

Muimbaji kutoka nchiniUganda Jose Chameleone akiimba kwenye stage ya bendi ya Skylight mara baada ya kupanda kwenye stage hiyo na kuwaacha mashabiki awa bendi hiyo wakitoa shangwe ya nguvu. Njoo leo Skylight imekuandalia suprise za kutosha kutoka katika bendi hii.

DSC_0048

 

Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone (katikati) akiimba kwa hisia moja ya nyimbo yake uku akisindikizwa na waimbaji wa bendi ya Skylight kushoto ni Suzy pamoja na Kasongo Junior (kulia).

 

Sony Masamba ambaye ni mmoja...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND IJUMAA YA KWANZA NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE‏

Digna Mbepera akiwaimbia kwa hisia mashabiki wa Skylight Band Ijumaa ya kwanza kwa mwaka 2014 ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku akisindikizwa na Mary Lucos pamoja na Winnie. Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani huku akisindikizwa na Rappa Joniko Flower sambamba na Winnie.…

 

9 years ago

Dewji Blog

‘Skylight Sunday Bonanza’‬ ndio habari ya mujini jumapili ya leo ndani kiota cha Escape One

DSC_0464

Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akiwasebenesha sehemu ya mashabiki wao Jumapili iliyopita kwenye Skylight Sunday Bonanza‬ kiota cha Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam

Waimbaji wa Bandi ya Skylight, Leah pamoja na  Suzy wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Escape One jumapili iliyopita sasa leo sio siku ya kukosa njoo ujionee mambo mapya kutoka kwenye bandi ya Skylight.


Ukafika muda wa kuzungusha mduara na kuona...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani