Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHUO CHA MAFUNZO YA NYUKI TABORA KUPANDISHWA HADHI

 Waziri wa Maliasili na Utalii Razaro Nyarandu (katikati mbele) akiwa na wahadhiri na wahitimu katika mahafali ya 3 ya Chuo cha Mafunzo ya Nyuki yaliyofanyika mjini Tabora chuoni hapo.Na Allan Ntana, TaboraSERIKALI imeahidi kupandisha hadhi ya Chuo cha Mafunzo ya Nyuki kilichoko mkoani Tabora ili kuwavutia wanafunzi wengi zaidi kutoka ndani na nje ya nchi kujiunga na chuo hicho. Hayo yalibainishwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Razaro Nyarandu aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 3 ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Chuo cha nyuki Tabora kupandishwa hadhi

SERIKALI imeahidi kupandisha hadhi ya Chuo cha Mafunzo ya Nyuki kilichopo mkoani hapa ili kuwavutia wanafunzi wengi zaidi kutoka ndani na nje ya nchi kujiunga na chuo hicho. Hayo, yalibainishwa...

 

10 years ago

Habarileo

Chuo cha Nyuki kupandishwa hadhi

SERIKALI imeahidi kupandisha hadhi ya Chuo cha Mafunzo ya Nyuki mkoani Tabora, kuvutia wanafunzi wengi zaidi kutoka ndani na nje ya nchi kujiunga nacho. Hayo yalibainishwa juzi na Waziri wa Maliasili na Utalii , Lazaro Nyalandu aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali ya tatu ya chuo hicho.

 

10 years ago

Dewji Blog

Chuo cha takwimu cha India kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya mafunzo ya watalamu wa Chuo ch EASTC

EASTC 7

Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) Prof. Innocent Ngalinda akimwelezea Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal kuhusu chumba cha kompyuta kilichopo chuoni hapo wakati wa kuangalia maadalizi ya kutiliana saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Mafunzo ya Watalaam wa Takwimu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika na Chuo cha Takwimu cha nchini India utakaosainiwa tarehe 28 Machi, 2015.(PICHA NA VERONICA KAZIMOTO).

Na Veronica Kazimoto, MAELEZO

Chuo cha Takwimu Mashariki...

 

11 years ago

GPL

ZANZIBAR KUANZISHA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI KWA WANAWAKE KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA BAREFOOT CHA INDIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipokea zawadi mara alipowasili katika Chuo cha Mafunzo ya Amali kiitwacho Tilonia, Wilaya ya  Ajmer Jimbo la Rajastan akiwa  katika siku ya pili ya ziara yake nchni India pamoja na ujumbe aliofuatana nao.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Affani Othman Maalim (kulia) kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar… ...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA KUTILIANA SAINI YA MKATABA WA MAKUBALIANO YA MAFUNZO YA WATALAAM WA TAKWIMU NA CHUO CHA TAKWIMU CHA INDIA

Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) Prof. Innocent Ngalinda akimwelezea Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal kuhusu chumba cha kompyuta kilichopo chuoni hapo wakati wa kuangalia maadalizi ya kutiliana saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Mafunzo ya Watalaam wa Takwimu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika na Chuo cha Takwimu cha nchini India utakaosainiwa tarehe 28 Machi, 2015. Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal akiangalia vitabu mbalimbali vilivyopo...

 

11 years ago

Michuzi

Chuo cha Bahari-DMI cha saini makubaliano ya mafunzo ya ubaharia na UNRA(U)

Chuo cha Bahari (DMI) kimetia saini makubaliano ya mafunzo ya ubaharia na Mamlaka ya Barabara ya nchini Uganda (Uganda National Road Authority) Makubaliano hayo yalitiwa saini alhamisi 12.06.2014 jijini Kampala katika ofisi za UNRA zilizopo Lourdel rd plot 5 Nakasero.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Bahari,Ing. Yassin M. Songoro , Mkuu wa Idara ya fedha,Bw. Mussa Kondo na Mkuu wa kozi fupi,Bw. Hilal Salum waliiwakilisha DMI na kwa upande wa UNRA Mkurugenzi Mtendaji,Bw. Ssebbugga Kimeze,Ing....

 

10 years ago

Michuzi

MADEREVA 21 WA KAMPUNI YA MAJINJAH LOGISTICS LTD WAPATIWA MAFUNZO CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) WAHITIMU WAPEWA VYETI.

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Majinjah Logistics Ltd wakiwa katika picha ya pamoja na kutoka kushoto mstari wa mbele (wa pili) Mkuu wa Kampuni ya Majinjah,Geoffrey Mwambona, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Majinjah Logistics,Benjamin Mwandete,Mkuu wa Idara ya Tafiti,Machapisho na Masomo ya Elimu ya Juu (NIT),Dk,Ethel Kasembe,Mhandisi, Charles Kisunga na Dereva wa kike wa Majinjah,Grace Andrew. Wahitimu wa mafunzo ya Udereva wa Kampuni ya Majinjah Logistics wakiwa katika picha ya pamoja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kifaru: Mtibwa chuo cha mafunzo

KLABU ya Mtibwa Sugar ya Manungu, Morogoro, imetamba kuwa ni chuo cha mafunzo kutokana na timu kubwa hapa nchini kugombania kusajili wachezaji wao. Tambo hizo zimekuja kutokana na kuwa kila...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YAUBEBA MRADI UJENZI MAKTABA YA CHUO CHA ARDHI TABORA


Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akitolea ufafanuzi hoja zilizowasilishwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kuhusiana na mradi wa ujenzi wa Maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora wakati kamati hiyo ilipokwenda kukagua maendeleo ya mradi huo mwishoni mwa wiki . Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati Kemilembe Lwota na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri.Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani