Chuo feki kilichotelekeza wanafunzi chafungwa rasmi
SAKATA la uwepo wa chuo bandia cha Kilimo na Mifugo cha Nice Dream kilichopo Ilemi jijini Mbeya, limechukua sura mpya baada ya serikali na ofisi ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), kukifunga rasmi chuo hicho, huku wanafunzi wakiamriwa kurejea makwao ndani ya siku tatu.
Aidha, mmiliki wa chuo hicho anasakwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kuwatapeli fedha wanafunzi zaidi ya 46 kutoka mikoa mbalimbali nchini, ikiwamo Kagera (41), Mara (2), Mbeya (2) na mmoja kutoka Dar es...
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ac68YxxsLJ2hPs-ZNmnen4nCMmwHana7mA5gumYP6n7etGNUchFaySnClvMk0HwC4xN-itsEjTmw24fb6GXAopNaPXVBW0uD/1.jpg)
CHUO FEKI CHA UUGUZI CHAFUNGWA, WANAFUNZI WAHAHA
11 years ago
MichuziNews Alert:WANAFUNZI 212 WA UASKARI CHUO CHA TAALUMA YA POLISI MOSHI WAFUKUZWA BAADA YA KUBAINIKA KUTUMIA VYETI FEKI
CHUO cha mafunzo ya taaluma ya Jeshi la polisi Moshi (MPA), kimewafukuzisha mafunzo jumla ya wanafunzi wa uaskari 212, kutokana na sababu za kughushi vyeti vya elimu ya sekondari..
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Taaluma na Utumishi wa jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye katika kikao na waandishi wa habari kilichofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha mafunzo ya taluma ya Polisi mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Kamishna...
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Chuo cha kidini chafungwa Kenya
9 years ago
BBCSwahili13 Oct
Chuo kikuu chafungwa baada ya mwanafunzi kufariki Kenya
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Yoxb_aT2G2g/U_CZS74XDhI/AAAAAAAGALQ/1H1BN-u3tQI/s72-c/504.jpg)
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar mgeni rasmi kwenye hafla ya kuwaaga wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro
Mama Asha Suleiman Iddi alisema hayo wakati wa hafla maalum ya kuagana kwa wana jumuiya ya wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro wa ZAMUMSA ambao wanatarajiwa kumaliza mafunzo yao mwezi Novemba mwaka huu...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qtwox7lrZtc/VmfqbR8rmXI/AAAAAAAILNo/uhfTqOfyGj4/s72-c/IMG_7109.jpg)
WANAFUNZI WA CHUO CHA KODI JIJINI DAR WATIMIZA WAJIBU KUFANYA USAFI KATIKA CHUO CHAO
CHUO cha Kodi cha Mwenge jijini Dar es Salam wameitikia wito wa kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Joseph Magufuli kufanya usafi katika mazingira ya Chuo hicho.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Edward Mwakimonga amewasihi wanafunzi pamoja na wananchi kwa ujumla kuwa usafi ni afya na ikiwezekana iwe ni kawaida kufanya usafi kila baada ya wiki mara moja ili kuweka mazingira safi.
Nae Waziri Mkuu wa serikali ya chuo cha Kodi, Jeremia Shushu amewashukuru wanafunzi pamoja...
10 years ago
VijimamboWANAFUNZI 48 WA CHUO CHA KILIMO NICE DREAM WATELEKEZWA SIKU TANO BILA YA CHAKULA NA CHUO HAKIJASAJIRIWA MBEYA.
Chuo hiki kilizinduliwa mwaka huu na Mh .Frederick Sumaye Waziri mkuu Mstaafu
Moja kati ya mwanachuo aliyezirai kwa njaa akiinuliwa na wasamaria wema kwenda mpatia chakula
Moja kati ya mabweni ya chuo hicho ambapo hulala chini wanafunzi kati ya 10 mapaka 15 kweli taasisi zinazihusika na ukaguzi wa vyuo hivi zipooo?
Hapa wanachuo hao wakipata uji baada ya msamaria mwema kuwapatia uji huo
Wakipata chakula cha mchana baada ya wananchi wa ilemi kuchangia chakula
Baadhi ya wanachama wa chadema...
10 years ago
MichuziSERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE
Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU wameiomba Tume ya Vyuo...
10 years ago
GPLSERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE