Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Claude LeRoy: Mfaransa mwenye heshima Afrika

Kufuzu kwa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) katika fainali za msimu huu za Mataifa ya Afrika 2015 ni mafanikio makubwa kwa nchi hiyo, lakini pia uzoefu wa kocha mkongwe, Claude LeRoy, kunatajwa kama moja ya mafanikio yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Claude LeRoy ajiuzulu kuifundisha timu ya taifa ya Congo Brazaville

Aliyekua mkufunzi wa kikosi cha timu ya taifa ya Congo Brazzaville, Kocha mfaransa Claude LeRoy amejiuzulu kuifundisha timu hiyo.

Leroy Claude, coach of Congo during the 2015 African Cup of Nations Qualifier match between South Africa and Congo, at Peter Mokaba Stadium on 14 October 2014 ©Muzi Ntombela/BackpagePix

LeRoy mwenye umri wa 67 aliuambia uongozi wa soka wa kocha wa Congo uamuzi huo muda mfupi baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya makundi ya kusaka tiketi ya kombe la dunia kwa kuifunga Ethiopia kwa mabao 2-1.

Kuna tetesi huenda kocha huyu akarudi kuifundisha timu ya taifa ya Cameroon, ambayo imemtimua kocha wake Volker Finke.

LeRoy,ana historia ya kuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

MO DEWJI ATEULIWA KUWANIA TUZO YA HESHIMA BARANI AFRIKA

mohammed-dewji_416x416

“NINAFURAHA KUKUARIFU KUWA NIMETEULIWA KUWANIA TUZO YA “ FORBES PERSON OF THE YEAR 2015”

KWA HESHIMA NA TAADHIMA NINAOMBA KURA YAKO; Bonyeza Link hii: [ ttp://t.co/8mPEDbghsB]   KUNIPIGIA KURA ILI TUIPEPERUSHE BENDERA YA TANZANIA JUU ZAIDI NA KUIWAKILISHA VYEMA AFRIKA MASHARIKI.”

MO DEWJI

“I am humbled to be one of the nominees for Forbes Person of the Year and i hope to make Tanzania/East Africa & Africa Proud. Please share with your friends and cast your votes...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mo Dewji ateuliwa kuwania Tuzo ya Heshima Barani Afrika #FAPOY2015

mohammed-dewji_416x416

“NINAFURAHA KUKUARIFU KUWA NIMETEULIWA KUWANIA TUZO YA “ FORBES PERSON OF THE YEAR 2015” #FAPOY2015

KWA HESHIMA NA TAADHIMA NINAOMBA KURA YAKO; Bonyeza Link hii: [ ttp://t.co/8mPEDbghsB]   KUNIPIGIA KURA ILI TUIPEPERUSHE BENDERA YA TANZANIA JUU ZAIDI NA KUIWAKILISHA VYEMA AFRIKA MASHARIKI.”

MO DEWJI

“I am humbled to be one of the nominees for Forbes Person of the Year and i hope to make Tanzania/East Africa & Africa Proud. Please share with your friends and cast your votes...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: MO DEWJI ashinda tuzo ya heshima Barani Afrika #FAPOY2015

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Dakika chache tu kutoka katika jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini  tayari Bilionea kijana Barani Afrika Mohammed Dewji maarufu kama “Mo” ametangazwa kushinda tuzo maalum ya heshima Barani Afrika  #FAPOY2015.

Katika hatua hiyo, MO ametunukiwa tuzo maalum ya heshima ya #FAPOY2015. Kufuatia tuzo hiyo tayari pongezi mbalimbali zimeanza kutolewa kwa MO ikiwemo kurasa wake wa twitter. @moodewji

MO akitoa nasaha zake muda mfupi wakati wa tuzo hiyo ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MPIGIE KURA MO DEWJI KUSHINDA TUZO YA HESHIMA BARANI AFRIKA #FAPOY2015

mohammed-dewji_416x416“NINAFURAHA KUKUARIFU KUWA NIMETEULIWA KUWANIA TUZO YA “ FORBES PERSON OF THE YEAR 2015” #FAPOY2015KWA HESHIMA NA TAADHIMA NINAOMBA KURA YAKO; Bonyeza Link hii: [ ttp://t.co/8mPEDbghsB] KUNIPIGIA KURA ILI TUIPEPERUSHE BENDERA YA TANZANIA JUU ZAIDI NA KUIWAKILISHA VYEMA AFRIKA MASHARIKI.”MO DEWJI"I am humbled to be one of the nominees for Forbes Person of the Year and i hope to make Tanzania/East Africa & Africa Proud. Please share with your friends and cast your votes here: http://t.co/8mPEDbghsB...

 

9 years ago

MillardAyo

Kutana na Dj Mdogo mwenye umri wa miaka mitatu Afrika Kusini…(+Video)

Dj Arch Jnr ndiye Dj mdogo mwenye umri wa miaka mitatu ambaye makazi yake yapo Afrika Kusini kipaji chake kinawashangasha watu  wengi kwa kucheza muziki wa aina tofauti akiwa kama DJ. Mtoto huyo alianza kuchukua headlines kabla ya kushinda kwenye shindano la S.A Got Talent 2015 baada ya kuwashinda washiriki sita kwenye fainali zilizofanyika Nov […]

The post Kutana na Dj Mdogo mwenye umri wa miaka mitatu Afrika Kusini…(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Hugh Masekela, mpiga tarumbeta mwenye mkwanja mrefu barani Afrika

Hugh Masekela linaweza kuwa jina geni kwa vijana, lakini kwa wafuatiliaji wa muziki wa Jazz wanamfahamu vyema nyota huyu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani