Mo Dewji ateuliwa kuwania Tuzo ya Heshima Barani Afrika #FAPOY2015
“NINAFURAHA KUKUARIFU KUWA NIMETEULIWA KUWANIA TUZO YA “ FORBES PERSON OF THE YEAR 2015” #FAPOY2015
KWA HESHIMA NA TAADHIMA NINAOMBA KURA YAKO; Bonyeza Link hii: [ ttp://t.co/8mPEDbghsB] KUNIPIGIA KURA ILI TUIPEPERUSHE BENDERA YA TANZANIA JUU ZAIDI NA KUIWAKILISHA VYEMA AFRIKA MASHARIKI.”
“I am humbled to be one of the nominees for Forbes Person of the Year and i hope to make Tanzania/East Africa & Africa Proud. Please share with your friends and cast your votes...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog08 Oct
MO DEWJI ATEULIWA KUWANIA TUZO YA HESHIMA BARANI AFRIKA
“NINAFURAHA KUKUARIFU KUWA NIMETEULIWA KUWANIA TUZO YA “ FORBES PERSON OF THE YEAR 2015”
KWA HESHIMA NA TAADHIMA NINAOMBA KURA YAKO; Bonyeza Link hii: [ ttp://t.co/8mPEDbghsB] KUNIPIGIA KURA ILI TUIPEPERUSHE BENDERA YA TANZANIA JUU ZAIDI NA KUIWAKILISHA VYEMA AFRIKA MASHARIKI.”
“I am humbled to be one of the nominees for Forbes Person of the Year and i hope to make Tanzania/East Africa & Africa Proud. Please share with your friends and cast your votes...
9 years ago
Vijimambo08 Oct
MPIGIE KURA MO DEWJI KUSHINDA TUZO YA HESHIMA BARANI AFRIKA #FAPOY2015
![mohammed-dewji_416x416](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/10/mohammed-dewji_416x416.jpg)
![MO DEWJI](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/10/MO-DEWJI.jpg)
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
Breaking News: MO DEWJI ashinda tuzo ya heshima Barani Afrika #FAPOY2015
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Dakika chache tu kutoka katika jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini tayari Bilionea kijana Barani Afrika Mohammed Dewji maarufu kama “Mo” ametangazwa kushinda tuzo maalum ya heshima Barani Afrika #FAPOY2015.
Katika hatua hiyo, MO ametunukiwa tuzo maalum ya heshima ya #FAPOY2015. Kufuatia tuzo hiyo tayari pongezi mbalimbali zimeanza kutolewa kwa MO ikiwemo kurasa wake wa twitter. @moodewji
MO akitoa nasaha zake muda mfupi wakati wa tuzo hiyo ya...
9 years ago
Bongo512 Oct
Mbwana Samatta ateuliwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika, ni wachezaji wanaocheza soka la ndani
9 years ago
Dewji Blog27 Aug
ABBAS MAZIKU: Mfanyabiashara anayetamani kufuata nyayo za Bilionie kijana Barani Afrika Mo Dewji
Mfanyabiashara wa Kimataifa Abbas Maziku akiwa katika picha ya pamoja na Mfanyabiashara ambaye pia ni Bilionea kijana Barani Afrika, Mtendaji Mkuu wa kampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji, ‘MO’ amabaye anafuata nyayo zake katika kufikia malengo yake kibiashara.
Na Mwandishi Wetu
BIASHARA ya kusafirisha mazao ni miongoni mwa biashara zenye ushindani mkubwa kutokana na kutawaliwa na matajiri wenye asili ya Kiasia.
Kutokana na sababu hiyo imewafanya waafrika wengi kuwa na uthubutu katika...
9 years ago
Habarileo18 Sep
Mo Dewji ang’ara tuzo wafanyabiashara Afrika
BILIONEA anayemiliki kampuni kubwa ya Mohammed Enterprises nchini (MeTL), Mohammed Dewji ‘Mo’ ameshinda Tuzo ya Mfanyabiashara wa Mwaka anayejitoa zaidi kuisaidia jamii kunufaika, kutokana na biashara zake, akiwa mshindi wa Afrika, Kanda ya nchi za Afrika Mashariki katika tuzo zilizofanyika juzi jijini Nairobi, Kenya.
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Dewji atunukiwa tuzo uongozi bora Afrika
10 years ago
Michuzi17 Dec
NHIF YANYAKA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA
![1Bima ya Afyaaa](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/1Bima-ya-Afyaaa.jpg)
10 years ago
Vijimambo17 Dec
NHIF YAZUNGUMZIA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA
![1Bima ya Afyaaa](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/1Bima-ya-Afyaaa.jpg)