CONGRATULATIONS TO MICHUZI BLOG FROM NEW DEAL AFRICA IN LONDON
![](http://4.bp.blogspot.com/-gLT_fiTObG4/VfLfwWHsTgI/AAAAAAAH4EQ/FTw8cGDV4kI/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
11 SECOND AVENUE
9/9/2015
TO ISSA MICHUZI
RE: CONGRATULATIONS
It’s been ten years now since you left Helsinki after meeting a Mr Macha ,a Tanzanian blogger who sow the seed that later became an idea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/SKkNoVsgMrE/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/dQZgH-n4K_o/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/U5iV4xqw45M/default.jpg)
MIAKA 10 YA MICHUZI BLOG MJUE MICHUZI ALIKOTOKEA NA UPIGAJI PICHA
Hii Video ililekodiwa mwaka 2011 ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/rUDlVpA4AYo/default.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
SHEREHE ZA KUADHIMISHA MIAKA 10 YA MICHUZI BLOG
Ndugu zangu, Â KILA jambo la nafsiri yake. Maadhimisho ya Miaka Kumi ya uwepo wa Michuziblog hayawezi kupita bila kutafutiwa tafsiri yake. Â Kwanza kabisa, kwa niaba ya wajumbe wangu wote, nichukue fursa hii kumpa pongezi za dhati ndugu yangu Kaka Muhidin Issa Michuzi kwa mafanikio makubwa aliyoyapata na pia mchango wake mkubwa alioutoa kwa Wanablogu wengine, nikiwamo mimi. Â Muhidin Michuzi ataingia kwenye vitabu vya...
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-svKbTDuk1pk/U2dMpi1cn1I/AAAAAAAFflY/k7YvchvA_5M/s1600/unnamed+(1).png)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YL0Y_wTE98g/Ve9dgM-H8CI/AAAAAAAH3cM/toBCZILggEk/s72-c/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
A decade long of blogging: 6 important lessons from Michuzi blog
By Mdau wa globu ya jamiiEvery niche has a name. And when it comes to blogging in Tanzania you cannot miss the name of Muhidin Issa Michuzi. His blog, dubbed as Globu ya Jamii (societal blog) , with a slogan “The most read swahili blog on earth”, is unquestionably one of the most informative and most authoritative Swahili blog on earth. I know he has come a long way to deserve all this, and he is still going strong.
With Collins Mtita, author of this note, in ParisIt was on the 8thSeptember...
![](http://4.bp.blogspot.com/-YL0Y_wTE98g/Ve9dgM-H8CI/AAAAAAAH3cM/toBCZILggEk/s320/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
9 years ago
MichuziMICHUZI BLOG YAADHIMISHA MIAKA KUMI YA KUANZISHWA KWAKE
Maadhimisho ya Miaka 10 ya uanzishwaji wa MICHUZI BLOG hapa nchini, chini ya Mmiliki wake Ankal iliyofanyika ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Keki ya maadhimisho ya miaka 1o ya MICHUZI BLOG ikiwa na keki ndogo zenye majina ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP.
Mr na Mrs Ankal na watoto wao wakikata keki ya maadhimisho ya miaka 10 ya MICHUZI BLOG, wakishuhudiwa na baadhi ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP.
Mkurugezi Mtendaji wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal akilishwa keki na mkewe ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania