Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Je agizo la kuwa umbali wa mita moja litatekelezwaje katika mitaa ya mabanda Afrika?

Kuna wagonjwa wachache wa Covid-19 barani Afrika ikilinganishwa na maeneo mengine duniani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je ukivaa barakoa ni muhimu kuzingatia umbali wa mita moja kati yako na

Shirika la Afya Duniani WHO limesisitiza kwamba kunapaswa kuwa na ushahidi kwamba utumizi wa mask au barakoa, pamoja na maelezo mengine unasaidia kupunguza mlipuko huo

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Namna gani unaweza kuwa umbali wa mita mbili

Watu wameshauriwa kuwa umbali wa mita mbili ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona. Lakini unawezaje kujua upo umbali wa mita mbili na mwingine?

 

5 years ago

BBCSwahili

Polisi mbaroni kwa kumburuza mwanamke umbali wa mita 200 kwa tuhuma za wizi

Viongozi na wanaharakati wa haki za binaadamu kutoka kaunti ya Nakuru nchini Kenya wamepaza sauti zao kukemea vitendo vya ukatili unaofanywa na polisi mjini humo.

 

10 years ago

Bongo5

Club Bilz: ‘Tulifanya marekebisho ili kuwa club namba moja Afrika’, ifahamu ratiba ya wiki

Club Bilicanas imefanyiwa marekebisho makubwa na kuifanya si tu kuwa na jina jipya ‘Club Bilz’ bali pia club ya kisasa zaidi kuliko zote nchini. Kwa mujibu wa mkuu wa kitengo cha burudani wa Club Bilz au Bilz Night Club, Raheem Da Prince, matengenezo hayo yalilenga kuifanya Bilz kuwa club namba moja Afrika. “Investiment ambayo imefanyika […]

 

10 years ago

Michuzi

‘MADINI HOUSE’ KUJENGWA ARUSHA, Kuwa na huduma za kibenki, Helkopita kutua moja kwa moja kituoni

Na Asteria Muhozya, SongeaKamishna wa Madini Tanzania, Mhandisi Paul Masanja ameeleza kuwa, Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini itajenga kituo maalum cha kuuza na kununua madini ya vito kutokana na nchi kuwa na hazina kubwa ya madini jambo ambalo pia litachangia katika kuyaongezea thamani madini hayo.  Masanja ameyasema hayo  mjini Songea wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Nishati na Madini Eliakim Maswi kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na wizara ikiwemo kuonana na...

 

9 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA: Ziara ya Papa Francis Afrika

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anaanza ziara yake ya kwanza Afrika leo na amepangiwa kutua uwanja wa ndege ya JKIA, Nairobi baadaye leo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus China : Watu 97 wapoteza maisha yao katika siku iliotajwa kuwa mbaya zaidi

Takriban watu 908 wamefariki nchini China - licha ya idadi mpya ya maambukizi kupungua

 

9 years ago

Michuzi

Wananchi watakiwa kuwa nje ya mita 60 kutoka vyanzo vya maji vinavyopeleka Mtera

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akizungumza na wananchi katika kijiji cha Chimwenga wilaya ya Mbeya vijijini ambapo Naibu Waziri aliwaeleza wananchi hao umuhimu wa kukaa mbali na vyanzo vya maji ili kutoviharibu na kusababisha upungufu wa maji unaopelekea bwawa la uzalishaji umeme la Mtera kukauka.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa wakiwa katika kijiji cha Makwenji wilaya ya Mbeya...

 

10 years ago

Dewji Blog

WLF waendelea kukabidhi nyumba za watumishi wa afya katika kijiji cha Mabanda wilayani Kibondo mkoani Kigoma

E80A5273

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kibondo Ayubu Sebabili (kulia) akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Nyumba ya Mganga yenye uwezo wa Kukaliwa na Familia Mbili baada ya kukabidhiwa Nyumba hiyo na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la World Lung Foundation Dk.Nguke Mwakatundu (wa pili kulia).

E80A5243

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la World Lung Foundation Dk.Nguke Mwakatundu(aliyesimama) akizungumza katika hafla ya kukabidhi Nyumba ya Mganga kwa Uongozi wa Kijiji cha Mabamba Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma.

E80A5252

Katibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani