‘MADINI HOUSE’ KUJENGWA ARUSHA, Kuwa na huduma za kibenki, Helkopita kutua moja kwa moja kituoni
![](http://2.bp.blogspot.com/-rqG3iwLGIrQ/U_pJMC7YZCI/AAAAAAAGCF8/cV8FlTM1M6U/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Na Asteria Muhozya, SongeaKamishna wa Madini Tanzania, Mhandisi Paul Masanja ameeleza kuwa, Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini itajenga kituo maalum cha kuuza na kununua madini ya vito kutokana na nchi kuwa na hazina kubwa ya madini jambo ambalo pia litachangia katika kuyaongezea thamani madini hayo. Masanja ameyasema hayo mjini Songea wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Nishati na Madini Eliakim Maswi kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na wizara ikiwemo kuonana na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFIziE9N6wDzK6U40Cs*Zx1yMnGD5QuoxEDDRis4xOB3ji7w89VDuQqahVIYPkwundAoIfzVLWFQKbyeDHVbtB0l/DSC_0056.jpg?width=650)
AIRTEL MONEY YAZINDUA RASMI HUDUMA YA KUTUMA, KUPOKEA PESA MOJA KWA MOJA KWENYE AKAUNTI YA TIGO PESA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bLEybj6Y_vM/U_ci-4SylbI/AAAAAAAGBWA/CsXSA1CSstI/s72-c/unnamed.jpg)
Airtel Money yazindua rasmi huduma ya kutuma/kupokea pesa moja kwa moja kwenye akaunti ya tigo pesa
![](http://1.bp.blogspot.com/-bLEybj6Y_vM/U_ci-4SylbI/AAAAAAAGBWA/CsXSA1CSstI/s1600/unnamed.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-g2CREGAJnrM/XmEEUbQOqdI/AAAAAAALhTs/PYgQsbH9lzM-rof9OIduiKC7WDApKq1kwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-05%2Bat%2B3.42.49%2BPM.jpeg)
ZAIDI ya wabunifu 700 nchini wamepata ajira za moja kwa moja
![](https://1.bp.blogspot.com/-g2CREGAJnrM/XmEEUbQOqdI/AAAAAAALhTs/PYgQsbH9lzM-rof9OIduiKC7WDApKq1kwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-05%2Bat%2B3.42.49%2BPM.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-0Xu_LBBZpOQ/XmEEUa3aMlI/AAAAAAALhTw/_MGDXvdC0MooD24LiwBXlNNry-B0N0HQwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-05%2Bat%2B3.50.35%2BPM.jpeg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/fYpUPgvh1sk/default.jpg)
9 years ago
Bongo506 Oct
Zari hawezi kuhamia Tanzania moja kwa moja — Diamond
9 years ago
BBCSwahili15 Aug
RIPOTI ZA MOJA KWA MOJA ZA MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA
11 years ago
Habarileo14 Apr
10 years ago
Dewji Blog27 Apr
Askari wa Wanyamapori sasa kuajiriwa moja kwa moja kama Majeshi mengine
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akikwagua gwaride la heshima jana alipowasili Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza alipokwenda kukagua vifaa mbalimbali vilivyonunuliwa na Taasisi ya Buffet Foundation kwa jili ya mafunzo ikiwemo vitabu, kompyuta, magari na darubini.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiangalia moja ya kompyuta maalum zinazotumiwa wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza alipokwenda kukagua vifaa...
11 years ago
Michuzi