Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Wizara ya afya nchini Vietnam imetengeneza wimbo kuhusu usafi wa mikono

Wimbo unaosisitiza masuala ya usafi ni kampeni ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wizara ya Afya yaonya kuhusu ugonjwa wa dengue nchini

>Wananchi wameaswa kuchukua hadhari juu ya ugonjwa wa dengue ambao dalili zake ziko sawa na zile za malaria.

 

9 years ago

Dewji Blog

Taarifa Wizara ya Ulinzi na JKT juu ya Uzushi kuhusu Afya ya Mkuu wa Majeshi nchini

j4Jenerali Mwamunyange akiteta jambo na mwenyeji wake Rome, nchini Italia.

TAARIFA YA WIZARA YA ULINZI NA JKT JUU YA UZUSHI KUHUSU AFYA YA MKUU WA MAJESHI

 KUMEKUWAPO UVUMI WENYE KUUPOTOSHA UMMA KUWA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NCHINI AMENUSURIKA KIFO BAADA YA KUWEKEWA SUMU KATIKA CHAKULA NA HIVI SASA AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN ILIYOPO NAIROBI, NCHINI KENYA, HUKU WENGINE WAKIDAI KUWA YUKO NCHINI INDIA KWA MATIBABU. 

TAARIFA HIZO NI UONGO WENYE KILA DALILI YA KUTENGENEZWA KWA LENGO LA...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yatoa taarifa kuhusu hali ya Kipindupindu nchini

ummy 1

Waziri Ummy Mwalimu alizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na hali ya kipindupindu nchini ambapo hadi sasa ni mikoa 21 ya Tanzania Bara imeathirika.Jumla ya watu 12,222 wameugua kipindupindu na kati yao watu 196 wameshafariki.

ummy 2

Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimfuatilia waziri huyo(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa hiyo.Hata hivyo Waziri Ummy ameagiza kila wiki (jumatatu) wizara yake kutoa  taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu hali ya...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YAKABIDHI MABASI 6 KWA VYUO VYA AFYA NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhi mabasi 6 kwa wakuu wa vyuo vya Afya kutoka katika maeneo mbalimbali .Mabasi hayo yatasaidia kuaondoa upotevu wa muda na adha ya usafiri waliyokuwa wakiipata wanafunzi,watumishi na wakufunzi wa vyuo hivyo kufika kwenye maeneo ya mafunzo kwa vitendo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akikata utepe kwenye basi moja...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WAFANYA USAFI MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM

Mvuvi Waziri Mfaume ambaye ni mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam alikutwa na mpiga picha leo akishimba shimo kwa ajili ya kuhifadhia uchafu kandokando ya barabara ya Barrack Obama ambayo zamani ilifahamika kwa jina la barabara ya bahari (Ocean Road). Anayeonekana akifagia eneo hilo ni Mama Chiku Hamadi Mkazi wa Mwananyamala. Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakifanya usafi wa mazingira leo katika soko la samaki la Feri ikiwa ni kutekeleza agizo la Mhe. Rais...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MANYANYA AKABIDHI MALIGHAFI ZINAZOTUMIKA KUTENGENEZA VITAKASA MIKONO (HAND SANITIZER) KWA WIZARA YA AFYA TIRDO NA SIDO LEO

 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhandisi Stella Manyanya (Kushoto)akikabidhi ethanol kwa wizara ya afya katika hafla ya kukabidhi malighafi (Ethanol) kwa ajili ya kutengenezea vitakasa mikono katika kiwanda cha Consumer’s Choice Jijini Dar es Salaam.  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhandisi Stella Manyanya (Kulia)akikabidhi ethanol Shirika la Viwanda Vidogo SIDO katika hafla ya kukabidhi malighafi (Ethanol) kwa ajili ya kutengenezea vitakasa mikono katika kiwanda cha Consumer’s...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya yatoa tamko kuhusu Kipindupindu

picha 1 (1)

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (Kushoto) akitoa tamko juu ya ugojwa wa kipindupindu alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam kulia ni Naibu waziri wa Wizara hiyo Dkt Hamisi Kigwangalla.

picha 9 (3)

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (Katikati) akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika kambi ya kipindupindu iliyopo Mburahati Jijini Dare s salaam.

picha no 7

Waziri wa Afya, Maendeleo ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Homa ya Dengue

mg1

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid na Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Charles Pallangyo.

Utangulizi

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya mwenendo wa ugonjwa wa homa ya dengue yaani “dengue fever” hapa nchini.Ugonjwa huu umethibitishwabaada ya sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa watu waliohisiwa kuwa na ugonjwa huu jijini Dar es Salaam kupelekwa kwenye maabara yetu ya Taifa Dar es salaam na kuthibitisha kuwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani