Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Costa Rica angry with Fifa over drug tests after Italy match

Jorge Luis Pinto and the Costa Rican Football Federation are furious at Fifa for ordering seven of their team’s players to undergo drug tests in the aftermath of the famous World Cup win over Italy.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UINGEREZA YAFUNGASHIWA VIRAGO, ITALY TIA MAJI TIA MAJI KWA KUPIGWA 1-0 NA COSTA RICA

 Na Sultani Kipingo Wakiwa wameshinda mara mbili katika michezo yao ya kwanza ya Kombe la Dunia 2014, Costa Rica wamedaka tiketi ya kwenda katika raundi ya mtoano ya 16 huku Brazil.

 Baada ya kufanya maajabu kwa kuifunga Uruguay katika mchezo wao wa fungua dimba, Costa Rica wamaeitungua Italy 1-0 leo katika mchezo mkali wa kundi D katima uwanja wa Pernambuco mjini Recife.  Goli lao la ushindi limepatikana dakika chache kabla ya mapumziko pale kiungo wao mahiri Bryan Ruiz alipotia ndinga...

 

11 years ago

BBCSwahili

Raia wa Costa Rica washerehekea ushindi

Makumi ya maelfu wa raia wa Costa Rica wamesherehekea ushindi wa timu yao ya taifa katika mechi za kombe la dunia .

 

11 years ago

BBCSwahili

Wachezaji 7 wa Costa Rica hawana doa

Wachezaji 7 wa Costa Rica waliolazimishwa kupimwa mkojo baada ya mechi ya Italia hawakutumia dawa.

 

11 years ago

TheCitizen

Costa Rica makes WC a worthy showpiece

For a while, Brazil 2014 looked to be facing the risk of being remembered for the wrong reasons.

 

11 years ago

BBCSwahili

Costa Rica yailaza Italia 1-0 Brazil

Costa Rica iandikisha ushindi wa 1-0 dhidi ya Italia na kujikita kileleni mwa kundi D

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke azuiliwa Costa Rica juu ya hati

Mamlaka za nchini Costa Rica zinamshikilia mwanamke mmoja mwenye asili ya Ugiriki kwa kosa la kuwa na hati bandia za kusafiria.

 

11 years ago

GPL

URUGUAY YAANZA VIBAYA, YACHAPWA 3-1 NA COSTA RICA

Costa Rica wakiwashukuru mashabiki baada ya ushindi wa bao 3-1 dhidi ya Uruguay. Majonzi: Luis Suarez (wa kwanza kulia) aliyekuwa benchi akiwa haamini kilichotokea.…

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Mashabiki wafunga mitaa ushindi wa Costa Rica

>Kutoka ufukweni hadi katikati ya mji mkuu, mashabiki na raia wa Costa Rica walimiminika barabarani juzi kushangilia ushindi wa kihistoria wa timu yao iliyofanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza baada ya kuitoa Ugiriki.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIIL 2014: Costa Rica, Uholanzi zatinga robo fainali

>Costa Rica na Uholanzi zimetinga hatua ya robo fainali ya Fainali za Kombe la Dunia 2014 baada ya kushinda mechi zao za jana za hatua ya 16 bora nchini Brazil.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani