DC amshangaa Mwenyekiti CCM
Sakata la ujenzi wa choo Soko Kuu la Geita, limezidi kufukuta baada ya Mkuu wa Wilaya ya Geita, Manzie Mangochie kufananisha kitendo kilichofanywa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma cha kuzuia ujenzi wa choo hicho sawa na wananchi wenye hasira kali wanaojichukulia sheria mkononi kufanya mauaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mzalendo Zanzibar03 Oct
Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura
Mwenyekiti wa Tume Damian Lubuva Saturday, October 3, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa Uchaguzi nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva, ameeleza kushangazwa na kauli zinazotolewa na baadhi ya vyama vya siasa wakiwahamasisha wafuasi wao hasa kundi […]
The post Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura appeared first on Mzalendo.net.
5 years ago
Michuzi
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT SHEIN JIJINI DODOMA


5 years ago
Michuzi
MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM OFISI NDOGO YA CCM MTAA WA LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM


11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) akutana na Makamu Mwenyekiti wa Rais wa China
Viongozi wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao (hayupo pichani) kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Philip Mangula akimkabidhi zawadi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao mara baada ya kumaliza mkutano.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akionyesha zawadi aliyopewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)...
5 years ago
CCM Blog
MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TANZANIA BARA AZINDUA OFISI YA CCM MKOA WA GEITA

15.02.2020
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Ndugu Philip Japhet Mangula amezindua jengo la ofisi ya CCM Mkoani Geita ambalo ni limejengwa na viongozi wa Chama na Serikali, Wanachama wa CCM pamoja na wadau mbalimbali Mkoani hapo.
Aidha, Ndugu Mangula akiwahutubia wana CCM hao...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
MAKAMU MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZINDUA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM

