Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC MAVUNDE AIASA JAMII KUACHA UKATILI DHIDI YA WATOTO

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde akizungumza wakati wa tamasha la kupinga na kukataa vitendo vya kikatili dhidi ya watoto, lililofanyika katika viwanja vya mnara wa Mashujaa Mpwapwa. Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde (kushoto) akizungumza jambo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Jacob Erasto Chimeledya wakati wa maadhimisho hayo ya kupinga na kukataa vitendo vcya ukatili kwa watoto.
 Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Serikali yaiasa jamii kuacha ukatili

Wakati baadhi ya koo za kabila la wakurya mkoani Mara zikijiandaa na ukeketaji wa watoto wa kike, Serikali imeiasa jamii kuacha ukatili dhidi ya watoto hao na kuelekeza mabadiliko hayo katika elimu.

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorius Luoga ametoa rai hiyo alipozindua filamu fupi ya simulizi ya kweli ya Ghati na Rhobi ambayo imetengenezwa na Jukwaa la utu wa mtoto  kwa kushirikiana  na shirika la Forward la nchini Uingereza linalojishighulisha na utafiti wa afya na maendeleo ya wanawake.

Kauli...

 

10 years ago

Mwananchi

GEA HABIB : Mwanzilishi wa ‘Hekaheka’ anayekerwa na ukatili dhidi ya watoto

Kwa wasikilizaji wa redio, Geah Habib litakuwa si jina geni masikioni mwao. Hilo linatokana na umaarufu mkubwa aliojijengea katika kipindi cha Leo Tena kinachorushwa na Clouds Fm.

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM FOUNDATION YANOGESHA UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO LEO

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni A.C.P Camillus Wambura(kushoto)akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia alipowasili ofisini kwake akiwa kama Mgeni rasmi wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto leo katika viwanja vya Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Askari polisi na wanafunzi wa Shule ya Msingi Oysterbay na Mbuyuni wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe maalum wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

UNICEF Tanzania yawateua AY na Faraja K. Nyalandu kama Mabalozi wa kuhamasisha umma juu ya ukatili dhidi ya watoto

Katika kusherehekea siku ya Mtoto wa Afrika tarehe 16 Juni, Halmashauri ya Wilaya ya Hai, ikishirikiana na viongozi wa serikali, UNICEF na Save the Children, imezindua Kituo cha Huduma Jumuishi, kitakachowasaidia wanawake na watoto ambao wameathiriwa na ukatili.


“Katika kituo hiki, huduma za kuwasaidia wahanga wa ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto ikiwa ni pamoja na huduma za afya, msaada wa kisaikolojia, ulinzi/usalama na msaada wa kisheria vinaweza kutolewa hapo katika eneo...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MATEMBEZI YA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO WAFANYIKA LEO JIJINI DAR

  Baadhi ya Wanafunzi kutoka shule mbalimbali wakiwa kwenye uzinduzi wa matembezi ya maadhimisho  ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na watoto yaliyofanyika katika viwanja vya Oysterbay Polisi,leo Jijin Dar.    Baadhi ya Wanafunzi kutoka shule mbalimbali  wakiongozwa na Brass band yaJeshi la Polisi,wakiwa kwenye uzinduzi wa matembezi ya maadhimisho  ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na watoto yaliyofanyika katika viwanja vya Oysterbay Polisi,leo Jijin Dar.

 

10 years ago

Vijimambo

WARSHA KUHUSU NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUZUIA UKATILI DHIDI YA WATOTO NCHINI TANZANIA YAFUNGULIWA LEO KILIMANJARO.

  Julieth Swai Mwakilishi kutoka UNICEF akizungumza jambo Baadhi ya washiriki wa Warsha wakifuatilia kwa makini Mmoja wa  washiriki wakiuliza maswali katika warsha hiyo Kimela Bila Mwandaaji wa Kipindi cha Walinde Watoto akizungumza katika Warsha hiyo Mathias Haule, Afisa Maendeleo ya Jamii maswala ya Ukatili dhidi ya Watoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akielezea Sheria ya Mtoto Neema Kimaro, Mratibu wa kipindi cha Walinde Watoto kutoka True Vision Production...

 

10 years ago

Michuzi

MWANAHARAKATI KHADIJA LIGANGA ATOA SEMINA YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NA UKATILI DHIDI YA WATOTO KWA VIJANA ZAIDI YA 100 JIJINI MWANZA

Mwanaharakati toka Shirika la Kutetea Haki za Wanawake la KIVULINI la jijini Mwanza, Bi. Khadija Liganga ametoa mafunzo ya siku moja kuhusu Unyanyasaji wa kijinsia na ukatili Dhidi ya watoto kwa vijana takribani 100 wa jiji la Mwanza ikiwa ni hatua za kuwajenga vijana katika misingi ya kuachana na mila, tamaduni na dhana potofu zinazowakandamiza wanawake na watoto katika jamii.
Semina hiyo iliyoandaliwa na Teen Club Mwanza, ililenga Kujenga uwezo wa kutambua ukatili na unyanyasaji wa...

 

5 years ago

CCM Blog

SAMIA: VITENDO VYA KULAWITI WATOTO WA KIUME NI UKATILI NA UDHALILISHAJI WA WATOTO, LAZIMA VIKOMESHWE

Na Mwandishi Maalum, Simiyu
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amekemea vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto hasa wa kiume ambao baadhi wamekuwa wakiwadhalilisha kwa kuwalawiti.

Ameyasema hayo leo mkoani Simiyu wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kitaifa mkoani hapa/

Makamu wa Rais amewataka Watanzania kusimama pampja kwa kila mmoja kuwa mlinzi wa mwenzie  na kuwa katika mapambano hayo ya kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia.

"Sasa hii tabia ya kuwageuza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani