DC, Mbunge watuhumiana
MKUU wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya amedai kuwa Mbunge wa Jimbo la Msalala, Ezekiel Maige amemwandalia kundi kubwa la vijana, ambao wamepanga kulipiga mawe gari lake, kutokana na msimamo wake aliouweka katika ugawaji wa chakula cha msaada kwa waathirika wa mvua kubwa ya mawe, iliyoua zaidi ya watu 46 katika kijiji cha Mwakata, wilayani hapa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Feb
WanaCCM Iringa Mjini watuhumiana
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimeingia hofu ya kupoteza tena jimbo la Iringa Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, kama makada wake wataendelea kujikita kuwanadi watu wanaotajwa kugombea jimbo hilo, badala ya kukiimarisha chama hicho kwa kuelezea utekelezaji wa Ilani yake ya Uchaguzi.
9 years ago
Mwananchi03 Nov
CCM watuhumiana kwa unafiki kila kona