Demokrasia Tanzania ni jinamizi linalotuvaa usingizini
Lipo somo mtu analojifunza katika kila jambo endapo tu ataamua kuiacha chupa yake ya akili wazi, kwa maana ya kuwa asiamini kwamba anajua kila kitu, binadamu mwenye nadhari nzuri anapaswa asiiaminishe sana akili yake, aiweke wazi kupokea vitu vipya, kamwe asifikirie kuwa chupa yake imejaa, hivyo haiwezi tena kuingia kitu kingine.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Dec
Jinamizi la rushwa laiporomosha Tanzania kimataifa-Utafiti
9 years ago
Bongo506 Nov
Uhuru Kenyatta asifia demokrasia ya Tanzania
![11207351_1166208840074334_7111082718879989795_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11207351_1166208840074334_7111082718879989795_n-300x194.jpg)
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameipongeza Tanzania kwa namna ilivyoonesha ukomavu katika demokrasia baada ya uchaguzi.
Kenya alikuwa mmoja wa viongozi wa Afrika waliohudhuria kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Dokta John Magufuli.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Kenyatta ameandika:
I joined other Heads of State and Government for a state luncheon at State House gardens in Dar es Salaam following a colourful swearing-in ceremony of Dr. John Pombe Magufuli as the fifth...
9 years ago
Habarileo21 Oct
EAC yaisifu Tanzania kwa kudumisha demokrasia
JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imeipongeza na kuisifia Tanzania kuwa ni nchi ya kuigwa kutokana na kujali demokrasia na utawala bora kwa kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano na kila baada ya miaka 10 kubadilisha viongozi wa juu, kwa mujibu wa katiba iliyojiwekea.
5 years ago
Bongo514 Feb
Anna Mghwira -Tanzania haina uchaguzi wa demokrasia
Aliyekuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama cha siasa ACT – Wazalendo, Anna Mghwira amedai Tanzania bado haina uchaguzi wa demokrasia huku akiweka wazi mpango wake wa kugombea ubunge katika uchaguzi ujao wa mwaka 2020 jimbo la Singida.
Mwanamama huyo ambaye alionyesha ujasiri mkubwa katika mbio za kuwania kiti cha Urais katika uchaguzi wa mwaka 2015, amesema hayo Jumatatu hii wakati akizungumza kupitia kipindi Cha Dakika 45 cha ITV.
“Siwazi siioni Tanzania ya uchaguzi ya mwaka 2020....
10 years ago
Dewji Blog30 Apr
Wanazuoni wajadili mustakabali wa Tanzania demokrasia ya vyama vingi
Jaji Francis Mtungi akifungua mkutano wa wadau wa siasa wa uimarishaji demokrasia ya vyama vingi.
Na Modewji Blog team
Dk. Benson Bana wa Chuo Kikuu cha Dare s salaam ambaye amebobea katika masuala ya siasa amewataka wadau wa siasa na wananchi kwa ujumla kuzuia uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu kwa kufuata Sheria na kutobeza mamlaka.
Dk Bana alisema hayo jana akijibu swali la msimamizi wa mdahalo wenye lengo la kuimarisha demokrasia ya vyama vingi ulioandaliwa na Msajili wa Vyama...
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-2Ildl7McSLI/VAL5TmuP0BI/AAAAAAAGX9c/gx9W8b3v7vo/s1600/uk1.jpg)
RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAJUMBE KITUO CHA DEMOKRASIA TANZANIA
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/Jaji-Francis-Mtungi-akifunguja-mkutano-wa-wadau-wa-siasa-wa-uimatishaji-demokrasia-ya-vyama-vingi.jpg?width=640)
WANAZUONI WAJADILI MUSTAKABALI WA TANZANIA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI
10 years ago
Dewji Blog09 Sep
Rais Kikwete akutana na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania mjini Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wakati alipokutana nao kwenye Ikulu ndogo mjini Dodoma Septemba 08, 2014.(Picha na Ikulu).