Dengue yaua watu 25,000 kila mwaka
Na Selina Wilson
WATU 25,000 wanapoteza maisha kila mwaka kutokana na ugonjwa wa homa ya dengue ulioenea katika nchi 110 duniani, ikiwemo Tanzania.
Hayo yalisemwa jana mjini Dar es Salaam na Mtaalamu wa Udhibiti na Ufuatiliaji Magonjwa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Geofrey Mchawa, katika mafunzo ya siku moja ya waandishi wa habari za afya kuhusu ugonjwa wa dengue.
Alisema takwimu zinaonyesha kuwa watu 50 hadi 390 wanaambukizwa ugonjwa huo kila siku duniani na kwamba kwa hapa nchini,...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Aug
Ndovu 36,000 wanauawa kila mwaka
9 years ago
BBCSwahili17 Sep
Ndovu 35,000 huuawa kila mwaka Afrika
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Watoto 1,000 hupoteza maisha kila mwaka
IMEELEZWA kuwa watoto 1000 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi kila mwaka upoteza maisha kutokana na wazazi wao kuhusisha ugonjwa huo na imani za kishirikina. Mwenyekiti wa Chama cha Watoto...
10 years ago
Dewji Blog23 May
Fistula yawatesa akinamama 3,000 Tanzania kila mwaka
![Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_00361.jpg)
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi.
![Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0073.jpg)
Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga...
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Watoto 11,000 huzaliwa na sikoseli kila mwaka nchini
TAASISI ya Sikoseli Tanzania imewaomba wadau wengine wa afya nchini kujiunga katika mapambano ya ugonjwa wa seli mundu ‘sickle cell’ kwani idadi ya watoto wanaozaliwa na ugonjwa huo kila mwaka...
11 years ago
Habarileo21 Jun
Wanawake 8,000 hufa kwa ujauzito kila mwaka
LICHA ya mafanikio yaliyopatikana Tanzania, bado inakabiliwa na tatizo kubwa la vifo vya akinamama 8,000 kila mwaka kutokana na sababu zinazohusiana na ujauzito, vingi vikiwa vya vijijini.
Hayo yalibainishwa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen Kebwe katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi , Iddy Kimanta.
Alisema hayo katika sherehe za makabidhiano ya vyumba vitano vya kisasa na vifaa vya upasuaji, zilizofanyika juzi kijijini Mwimbi...
10 years ago
Michuzi23 May
Festula Yawatesa Akinamama 3,000 Tanzania Kila Mwaka
![Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_00361.jpg)
![Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0073.jpg)
10 years ago
Habarileo31 Jan
Wasomi 100,000 kila mwaka wapaswa kujiajiri
BUNGE limeelezwa kuwa kila mwaka vijana 100,000 nchini wanaomaliza vyuo vikuu wanatakiwa kwani serikali na sekta binafsi ina uwezo wa kuajiri vijana 50,000 kati ya wanafunzi 150,000 wanaomaliza kila mwaka.
11 years ago
KwanzaJamii25 Apr
Kansa inaua wanawake 250,000 kila mwaka