Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndovu 35,000 huuawa kila mwaka Afrika

Utafiti unasema kuwa Ndovu huuawa kwa wingi kila mwaka kwa ajili ya biashara haramu ya Pembe

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ndovu 36,000 wanauawa kila mwaka

je wajua kuwa ndovu mmoja anauawa kila baada ya dakika 15, takwimu zinaonesha kuwa iwapo uwindaji haramu hautadhibitiwa ndovu wataisha katika miaka 15

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Dengue yaua watu 25,000 kila mwaka


Na Selina Wilson
WATU 25,000 wanapoteza maisha kila mwaka kutokana na ugonjwa wa homa ya dengue ulioenea katika nchi 110 duniani, ikiwemo Tanzania.
Hayo yalisemwa jana mjini Dar es Salaam na Mtaalamu wa Udhibiti na Ufuatiliaji Magonjwa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Geofrey Mchawa, katika mafunzo ya siku moja ya waandishi wa habari za afya kuhusu ugonjwa wa dengue.
Alisema takwimu zinaonyesha kuwa watu 50 hadi 390 wanaambukizwa ugonjwa huo kila siku duniani na kwamba kwa hapa nchini,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watoto 1,000 hupoteza maisha kila mwaka

IMEELEZWA kuwa watoto 1000 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi kila mwaka upoteza maisha kutokana na wazazi wao kuhusisha ugonjwa huo na imani za kishirikina. Mwenyekiti wa Chama cha Watoto...

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi 100,000 kila mwaka wapaswa kujiajiri

BUNGE limeelezwa kuwa kila mwaka vijana 100,000 nchini wanaomaliza vyuo vikuu wanatakiwa kwani serikali na sekta binafsi ina uwezo wa kuajiri vijana 50,000 kati ya wanafunzi 150,000 wanaomaliza kila mwaka.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Kansa inaua wanawake 250,000 kila mwaka

Na Albano Midelo TAKWIMU zinaonyesha kuwa kila mwaka nchini Tanzania akina mama zaidi ya 8,000 hufariki dunia kutokana na matatizo mbalimbali ya uzazi. Wanawake pia wanakabiliwa na tatizo jingine la kiafya ambalo ni ugonjwa wa saratani au kansa ya kizazi ambayo inaelezwa ndiyo inayoongoza katika kusababisha vifo vitokanavyo na kansa kwa akina mama waliopo katika nchi zinazoendelea. Utafiti unaonyesha kwamba akina mama zaidi ya 500,000 hupatwa na ugonjwa wa kansa ya uzazi kila mwaka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto 11,000 huzaliwa na sikoseli kila mwaka nchini

TAASISI ya Sikoseli Tanzania imewaomba wadau wengine wa afya nchini kujiunga katika mapambano ya ugonjwa wa seli mundu ‘sickle cell’   kwani idadi ya watoto wanaozaliwa na ugonjwa huo kila mwaka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Fistula yawatesa akinamama 3,000 Tanzania kila mwaka

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi.

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi.

Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem.

Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga...

 

10 years ago

Michuzi

Festula Yawatesa Akinamama 3,000 Tanzania Kila Mwaka

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi.Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi.Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem.Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga...

 

11 years ago

Habarileo

Wanawake 8,000 hufa kwa ujauzito kila mwaka

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen KebweLICHA ya mafanikio yaliyopatikana Tanzania, bado inakabiliwa na tatizo kubwa la vifo vya akinamama 8,000 kila mwaka kutokana na sababu zinazohusiana na ujauzito, vingi vikiwa vya vijijini.

Hayo yalibainishwa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen Kebwe katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi , Iddy Kimanta.

Alisema hayo katika sherehe za makabidhiano ya vyumba vitano vya kisasa na vifaa vya upasuaji, zilizofanyika juzi kijijini Mwimbi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani