DEO FILIKUNJOMBE , CAPT. WILLIAM SLAA WAFARIKI DUNIA
Alichokisema Jerry Slaa kupitia akaunti yake ya Instagram "Baba yangu Capt.William Silaa akiwa na Mhe.Deo Filikunjombe na abiria wengine walipata matatizo ya engine ya helicopter 5Y-DKK jana jioni wakitokea Dar kuelekea Ludewa. Taarifa za mwisho ilionekana imeanguka kwenye msitu wa Selous. Hakuna mawasiliano ya simu. Usiku kucha vyombo vyote vya serikali vimeendelea na jitihada za kufika eneo la tukio na jitihada kubwa zaidi...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
EatvMbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amefariki dunia
9 years ago
Bongo516 Oct
Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe afariki dunia kwa ajali ya helikopta, abiria wote wamepoteza maisha
9 years ago
Dewji Blog16 Oct
Deo Filikunjombe hatunaye tena!
Aliyekuwa mgombea Ubunge wa jimbo Ludewa, Mh Deo Filikunjombe akiwapungia wafuasi wake enzi za uhai.
Aliyekuwa mgombea Mbunge wa jimbo la Ludewa mkoani Njombe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ), Mh Deo Filikunjombe amefariki dunia.
Mh Deo Filikunjombe amefikwa na umauti baada ya helkopta aliyokuwa amepanda kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea jimboni kwake kuanguka usiku wa kuamkia leo katika mbuga ya wanyama ya Selous.
Katika helkopta walikuwa watu wanne pamoja na rubani...
10 years ago
Habarileo23 Nov
Kafulila aoa, mpambe Deo Filikunjombe
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), ameaga ukapera baada ya kufunga ndoa na Jessica Kishoa katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Uvinza, huku akisindikizwa na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), aliyekuwa mpambe.
9 years ago
Raia Mwema21 Oct
Deo Filikunjombe: Utiifu, Uzalendo na Ujasiri
"Naambiwa hukai jimboni, unazunguka majimbo mengine. Nataka ushinde tuendeleze kazi ya PAC".
Zitto Kabwe
9 years ago
GPL9 years ago
Michuzi19 Oct
VILIO,HUZUNI MAZIKO YA DEO FILIKUNJOMBE
SAFARI ya aliyekuwa mbunge mahiri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe, hapa duniani, ilikamilika jana saa 10.30 jioni wakati mwili wake ulipozikwa kwenye makaburi ya Kanisa Katoliki mjini Ludewa, katika jimbo ambalo aliliongoza kwa ufanisi mkubwa kwa miaka mitano iliyopita.Vilio, huzuni, simanzi vilitawala wakati wa maziko ya mwanasiasa huyo kijana ambaye alizikwa pamoja na wenzake wawili wanaotajwa kwamba walikuwa watu wake wa karibu. Filikunjombe (43)...
9 years ago
GPL9 years ago
Vijimambo