Diamond aangusha bonge la shoo maadhimisho ya miaka 38 ya CCM
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/6.jpg)
DIAMOND PLATNUMZ ATUA NA ZARI MJINI SONGEA, APIGA SHOO KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM
 Diamond Platnumz na madansa wake wakifanya vitu vyao kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea wakati wa sherehe za miaka 38 ya CCM leo.  …
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lfASdeYLW4cvPRsQZxTPCxcvyaJIbJznlhD4i7bvHxUTiH*BjDzww*iOyXW-OGo7VqH8EGXabMgbTXUK3zFvWnjsSKGinn5S/lowasaaacopy.jpg?width=650)
LOWASSA AANGUSHA BONGE LA PATI NYUMBANI KWAKE
Stori: Mwandishi Wetu, Arusha
WAZIRI Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Ngoyai Lowassa ameangusha bonge la pati la kuukaribisha mwaka 2014. Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza katika sherehe ya mwaka mpya nyumbani kwake Ngarashi Monduli.Pembeni yake ni mkewe mama Regina…
10 years ago
GPLMZEE YUSUF AANGUSHA BONGE LA BURDANI, ATANGAZA NIA DAR LIVE
...Akitangaza nia ya kugombea ubunge. Mzee Yusuf akiwaonesha mashabiki wake tuzo za Kili alizozoa usiku huo. ...Akiwaangushia mashabiki wake burudani.…
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Dkt. Bilal aongoza maadhimisho miaka 38 ya CCM Dar
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es salaam alipowasili Viwanja vya Tawi la CCM kwa Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam jana Februari 02,2015 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea CD yenye mashairi maalum ya...
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/02/32.jpg)
MWENYEKITI WA CCM DK. KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM JIJINI MBEYA
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Soweto Mwanjelwa jijini Mbeya tayari kwa kuanza matembezi ya mshikamano kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.… ...
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/02/11.jpg)
MWENYEKITI WA CCM DK JAKAYA KIKWETE AWASILI MKOANI MBEYA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr.Jakaya Kikwete akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili rasmi mkoani humo tayari kwa kuongoza maadhimisho ya Miaka 37 ya Chama cha Mapinduzi yanayofanyika kesho kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, ambapo amepokelewa na viongozi mbalimbali wa kitaifa wa Chama na Serikali pamoja na wananchi...
10 years ago
VijimamboMJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM NA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. BILAL AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM DAR ES SALAAM
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania