Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA AANGUSHA BONGE LA PATI NYUMBANI KWAKE

Stori: Mwandishi Wetu, Arusha
WAZIRI  Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Ngoyai Lowassa ameangusha bonge la pati la kuukaribisha mwaka 2014. Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza katika sherehe ya mwaka mpya nyumbani kwake Ngarashi Monduli.Pembeni yake ni mkewe mama Regina…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MBASHA AANGUSHA PATI

Emmanuel Mbasha akiwaongoza waimbaji wengine wakitumbuza kwenye sherehe yake hiyo. Musa Mateja ASANTE Mungu! Mume wa muimba Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameangusha bonge la pati nyumbani kwake Tabata Kimanga Mwisho, jijini Dar, Jumapili iliyopita kama shukrani kwa Mungu kwa kumfanikisha kushinda kesi ya ubakaji iliyokuwa ikimkabili. Rumba la Yesu likinoga. Akizungumza na gazeti hili nyumbani kwake siku ya tukio,...

 

9 years ago

GPL

KAJALA AANGUSHA PATI YA MIL.7

Na imelda mtema Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja juzi kati aliangusha bonge ya pati iliyogharimu takriban shilingi milioni saba ikiwa ni sehemu ya kujipongeza kwa kazi ngumu ya ujaji aliyokuwa akiifanya kwenye shindano la kusaka vipaji la Kinondoni (K.T.S) ambapo kwenye pati hiyo watu walikunywa, kula na wengine walilewa kwa pombe kali. Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwakaribisha wageni waalikwa. Akichonga na Ijumaa,...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AANGUSHA PATI MWANZA

Na Issa Mnally, Mwanza ZIKIWA zimepita saa takriban sita tangu kuzikwa kwa msanii mahiri wa nyimbo za Kwaya, Kapteni John Komba, anayetajwa kuwa karibu zaidi na wasanii wa fani zote, Mchekeshaji Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ alifanya bonge la pati la kumbukumbu ya kuzaliwa kwake ndani ya Hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya Jiji la Mwanza, usiku wa Jumanne iliyopita. Mchekeshaji Steve Mengere ‘Steve...

 

10 years ago

GPL

SHILOLE AFANYA BONGE LA PATI

Keki maalumu kwa ajili ya Shilole. Shilole akijiandaa kukata keki pembeni ni Steve Nyerere.…

 

10 years ago

GPL

MZEE YUSUF AANGUSHA BONGE LA BURDANI, ATANGAZA NIA DAR LIVE

...Akitangaza nia ya kugombea ubunge. Mzee Yusuf akiwaonesha mashabiki wake tuzo za Kili alizozoa usiku huo. ...Akiwaangushia mashabiki wake burudani.…

 

9 years ago

GPL

DIAMOND, ZARI WFANYA BONGE LA PATI!


Mwandishi wetu Mastaa wawili wakubwa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wanadaiwa kuangusha bonge la pati yenye kila aina ya viashiria vya ufuska, Risasi Jumamosi limeinyaka. Pati hiyo ya aina yake ilifanyika ndani ya mjengo wa Diamond (white house) uliopo pande za Madale-Tegeta jijini Dar, usiku wa kuamkia siku ya Sikukuu ya Idd El Hajj...

 

9 years ago

GPL

WOLPER MUME WA MTU WAANGUSHA BONGE LA PATI!

Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ akiwa na mpenzi wake. Imelda Mtema KAMA mbwai na iwe mbwai! Licha ya mke kujitokeza na kumtaka aachane na mumewe, staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ bado amekuwa ni sikio la kufa baada ya hivi karibuni kuangusha pati ya nguvu ya kujipongeza kutokana na kuvishwa pete ya uchumba na mwanaume huyo ambaye ni raia wa Kongo....Soma...

 

10 years ago

Vijimambo

UHURU FM 95.7 FM WAFANYA BONGE LA PATI KUUKARIBISHA MWAKA MPYA

Wafanyakazi wa Uhuru FM, Redio ya wananchi wakiongozwa na Dj Fast Edie (kushoto) wakishow love wakati wa tafrija yao ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika Februari 27, 2015 katika ukumbi wa Tukuyu katika Hoteli ya Land Mark jijini Dar es Salaam. 
Tafrija hiyo iliyoongozwa na Kaimu Mkurugenzi wao Angela Akilimali ilifana na kupongezwa na kila mfanyakazi kwa jambo hilo jema la kuwakutanisha wafanykazi na kufurahi pamoja. Kaimu Mkurugenzi wa Uhuru FM, Angela Akilimali akizungumza machache...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani