Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WOLPER MUME WA MTU WAANGUSHA BONGE LA PATI!

Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ akiwa na mpenzi wake. Imelda Mtema KAMA mbwai na iwe mbwai! Licha ya mke kujitokeza na kumtaka aachane na mumewe, staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ bado amekuwa ni sikio la kufa baada ya hivi karibuni kuangusha pati ya nguvu ya kujipongeza kutokana na kuvishwa pete ya uchumba na mwanaume huyo ambaye ni raia wa Kongo....Soma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

R.O.M.A, MO MUSIC, TUNDA MAN WAANGUSHA BONGE LA SHOO COCO

Mo Music akiwa na madensa wake wakianzisha shoo.
Tunda Man akifanya yake jukwaani.…

 

10 years ago

GPL

SHILOLE AFANYA BONGE LA PATI

Keki maalumu kwa ajili ya Shilole. Shilole akijiandaa kukata keki pembeni ni Steve Nyerere.…

 

9 years ago

GPL

DIAMOND, ZARI WFANYA BONGE LA PATI!


Mwandishi wetu Mastaa wawili wakubwa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wanadaiwa kuangusha bonge la pati yenye kila aina ya viashiria vya ufuska, Risasi Jumamosi limeinyaka. Pati hiyo ya aina yake ilifanyika ndani ya mjengo wa Diamond (white house) uliopo pande za Madale-Tegeta jijini Dar, usiku wa kuamkia siku ya Sikukuu ya Idd El Hajj...

 

11 years ago

GPL

LOWASSA AANGUSHA BONGE LA PATI NYUMBANI KWAKE

Stori: Mwandishi Wetu, Arusha
WAZIRI  Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Ngoyai Lowassa ameangusha bonge la pati la kuukaribisha mwaka 2014. Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza katika sherehe ya mwaka mpya nyumbani kwake Ngarashi Monduli.Pembeni yake ni mkewe mama Regina…

 

10 years ago

Dewji Blog

Uhuru FM 95.7 wafanya bonge la pati kuukaribisha mwaka mpya

Wafanyakazi wa Uhuru FM, Redio ya wananchi wakiongozwa na Dj Fast Edie (kushoto) wakishow love wakati wa tafrija yao ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika Februari 27, 2015 katika ukumbi wa Tukuyu katika Hoteli ya Land Mark jijini Dar es Salaam.

Tafrija hiyo iliyoongozwa na Kaimu Mkurugenzi wao Angela Akilimali ilifana na kupongezwa na kila mfanyakazi kwa jambo hilo jema la kuwakutanisha wafanykazi na kufurahi pamoja.

Kaimu Mkurugenzi wa Uhuru FM, Angela Akilimali akizungumza machache...

 

10 years ago

Vijimambo

UHURU FM 95.7 FM WAFANYA BONGE LA PATI KUUKARIBISHA MWAKA MPYA

Wafanyakazi wa Uhuru FM, Redio ya wananchi wakiongozwa na Dj Fast Edie (kushoto) wakishow love wakati wa tafrija yao ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika Februari 27, 2015 katika ukumbi wa Tukuyu katika Hoteli ya Land Mark jijini Dar es Salaam. 
Tafrija hiyo iliyoongozwa na Kaimu Mkurugenzi wao Angela Akilimali ilifana na kupongezwa na kila mfanyakazi kwa jambo hilo jema la kuwakutanisha wafanykazi na kufurahi pamoja. Kaimu Mkurugenzi wa Uhuru FM, Angela Akilimali akizungumza machache...

 

10 years ago

GPL

MY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU

Stori:  Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mke wa mtu, Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa yakichemka jikoni, kisa kupeleka maneno ya umbeya kwa mume wa mtu. Mke wa mtu, Mwajuma Prima akiwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri juzikati majira ya saa 12:00 jioni ambapo mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Fatuma ndiye...

 

11 years ago

GPL

MUME WA MTU AFA AKIWA NA MKE WA MTU

NI gumzo la aina yake ndani ya mji wa Kibaha mkoani Pwani ambapo mume wa mtu aliyejulikana kwa jina la Vedasto Ager (43) amefariki dunia baada ya kupata ajali ya kugongwa na gari aina ya Fuso akiwa amempakiza mke wa mtu kwenye pikipiki. Mwili wa marehemu Vedasto Ager ukiwa kwenye jeneza tayari kwa kuagwa. Kifo cha Vedasto kilichotokea Aprili 6, mwaka huu kimeacha maswali kibao kutokana na muda
wa tukio hilo kuwa usiku wa saa...

 

9 years ago

GPL

MKE: WOLPER NIACHIE MUME WANGU!

Musa Mateja na Imelda Mtema KIMENUKA! Siku chache baada ya kumwanika mchumba’ke, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye tayari amemvisha pete ya uchumba, mambo yamekuwa siyo mambo kwa staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe kutokana na mke wa jamaa huyo kuibuka na kumtaka amwachie mumewe. Chanzo makini kimelieleza Ijumaa Wikienda kwamba, baada ya habari na picha za Wolper na Mkongomani huyo kuripotiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani