Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond akabidhi ‘kombati’

Mwanamuziki Nassib Abdul, ‘Diamond Platnumz’ amesalimisha nguo zake za kijeshi kwenye Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

ANASWA NA KOMBATI ZA KOMANDOO

Kijana Zakaria Joseph akiwa amevalia kombati za jeshi. Na Haruni Sanchawa KIJANA aitwaye Zakaria Joseph 22, (pichani)mkazi wa Maili Moja, Kibaha, mkoani Pwani, anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kuvaa sare za Jeshi la Wananchi waTanzania (JWTZ), huku akitaka kuzitumia kuwashawishi polisi kutoa dhamana kwa mtu mmoja (jina limehifadhiwa). Taarifa zilizonaswa na gazeti hili zinasema kuwa, kijana huyo amekuwa akizutumia...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM AKABIDHI PIKIPIKI 9 NA BAISKELI 86 KWA KATA NA MATAWI YA CCM WILAYA YA KIBAHA VIJIJINI,PIA AKABIDHI KADI KWA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 100

 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) akikabidhi funguo ya Pikipiki kwa mmoja wa Makatibu Kata katika Wilaya ya Kibaha Vijijini,wakati wa shunguli ya kukabidhi Pikipiki 13 kwa Makatibu Kata na Baiskeli 86 kwa Wenyeviti wa Matawi ya CCM yaliopo kwenye Wilaya hiyo,Vifaa hivyo vilivyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini,Mh. Hamoud Abuu Jumaa (kulia).  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana akikabidhi sehemu ya Baiskeli 86 kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani