Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANASWA NA KOMBATI ZA KOMANDOO

Kijana Zakaria Joseph akiwa amevalia kombati za jeshi. Na Haruni Sanchawa KIJANA aitwaye Zakaria Joseph 22, (pichani)mkazi wa Maili Moja, Kibaha, mkoani Pwani, anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kuvaa sare za Jeshi la Wananchi waTanzania (JWTZ), huku akitaka kuzitumia kuwashawishi polisi kutoa dhamana kwa mtu mmoja (jina limehifadhiwa). Taarifa zilizonaswa na gazeti hili zinasema kuwa, kijana huyo amekuwa akizutumia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Diamond akabidhi ‘kombati’

Mwanamuziki Nassib Abdul, ‘Diamond Platnumz’ amesalimisha nguo zake za kijeshi kwenye Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Simulizi ya Hamza Kalala ‘Komandoo’-1

Kuna wanamuziki ambao wamejipatia umaarufu mkubwa kupitia tasnia ya muziki, kwa kuufanya uvutie ndani na nje ya nchi.

 

10 years ago

GPL

ALIYEUAWA NA KOMANDOO WA JWTZ MSIBA WAKE WAZIZIMA

Stori: Makongoro Oging’na Haruni Sanchawa
INAUMA sana! Baadhi ya ndugu waliokuwa wakiuaga mwili wa Aron Kihundwa (28) kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar walijikuta wakidondoka na kuzimia kufuatia uchungu wa kumpoteza mpendwa wao huyo aliyedaiwa kuuawa na Komandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Octavian Mgowele. Aron Kihundwa akiwa mahututi hospitali kabla ya kifo chake. Tukio hilo lilijiri wiki iliyopita na...

 

10 years ago

GPL

KOMANDOO WA JWTZ ALIYEUA MTU AFIKISHWA MAHAKAMANI DAR

Komando wa JWTZ aliyeua mtu mwishoni mwa wiki iliyopita, Octavian Maurus. Polisi wakiondoka mahakama ya wilaya Temeke leo na komandoo huyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani