Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND; KWA MAFANIKIO GANI HADI WAKUONEE WIVU?

NENO mafanikio lina maana pana sana na kwa mujibu wa wanasaikolojia, tafsiri sahihi ya neno hilo hubadilika kati ya mtu na mtu anayelihubiri au kuliishi. Katika mfano mmoja wa kuchekesha sana, bosi wangu aliwahi kusema wapo baadhi ya watu, kuzungumza na mastaa wakubwa ni ndoto za maisha yao, kwa maana hiyo, hayo ndiyo mafanikio yao! Maana nyepesi hapa ni kuwa mafanikio yako, siyo ya yule kwa sababu ndoto zinatofautiana. Unaweza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ajichoma moto hadi kufa kwa wivu wa mapenzi

MWANAKIJIJI wa Malolwa wilayani Sumbawanga Mkoa wa Rukwa, Ndekile Sunguli (38) amejiua kwa kujichoma moto ndani ya nyumba yake kwa wivu wa mapenzi. Kifo hicho kilitokea Septemba 29 mwaka huu...

 

10 years ago

Bongo5

Kanye West ana wivu na mafanikio ya Taylor Swift

Ni miaka sita tangu Kanye West ampokonye microphone Taylor Swift alipokuwa akipokea tuzo ya Best Female Video kwenye MTV Video Music Awards lakini bado hakumbali. Imedaiwa kuwa Kanye haelewi inakuaje Taylor amekuwa na mafanikio makubwa hadi leo na hiyo inamsumbua kiasi cha kumpa hasira nyingi. Yeezy anadaiwa kuchukia baada ya kubaini kuwa video ya wimbo […]

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND AKIWA NDANI YA IKULU KUONYESHA MAFANIKIO YAKE KWA MH. RAIS DKT KIKWETE

Thank you so much Mr president @jmkikwete .... daima nitaendelea kujituma na kuhakikisha naitumikia vyema nchi yangu #StateHouse #Earliertoday Haya ni maneno yake mwenyewe akitiririka. Diamond na kijana anaejituma na mwenye mafanikio kupitia music wake na kwa sasa ametokea kuwa balozi wa Tanzania popote pale jina lake lipo juu. Uwezi kuitaja Tanzania bila Diamond.

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Diamond Trust (DTB) yatangaza mafanikio yake makubwa kwa nusu mwaka wa 2014

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Diamond Trust (DTB),Bwa.Viju Cherian akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani),Mapema leo ndani ya moja ya ukumbi wa mikutano Serena Hotel jijini Dar kuhusiana na ripoti ya nusu mwaka wa 2014 kuhusu utendaji wa benki hiyo kwa ongezeko kubwa la faida kabla yakodi (profit before Tax (PBT) ya sh.billioni 10.3 ikiwa ni  asilimia 38 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2013 sambamba na mafanikio makubwa iliyoyapata benki hiyo.
Bwa.Viju alisema...

 

11 years ago

GPL

WEMA: MWACHENI DIAMOND ANIONEE WIVU

Stori: Imelda Mtema STAA asiyekaukiwa habari Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa ‘anainjoi’ kuona mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anamuonea wivu kwani anaamini ndiyo penzi la dhati. Wema Sepetu ‘Madam’. Akifafanua hilo mbele ya kinasa sauti chetu, Wema alisema wivu kwake ni kipimo kikubwa cha kutambua Diamond anamzimikia kiasi gani. “Baby (Diamond)...

 

10 years ago

Vijimambo

KISA ZARI DIAMOND AITWA SHOGA NI WIVU AU?

Staa namba moja wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Zarinah Hassan ‘Zari’.Stori: Erick EvaristHII ni ‘bad news’ kwa staa namba moja wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Mfanyabiashara maarufu nchini Uganda anayefahamika kwa jina la King Lawrence, ameibuka na kumuita nyota huyo shoga, Ijumaa linakupa habari hii.ISHU ILIPOIBUKIA
King ambaye ana makazi yake pia nchini Afrika Kusini, amedaiwa kutoa kauli hiyo juzi, Jumatano kupitia mtandao wa Facebook akionesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani