Diamond na Wema wanawania tuzo ya pamoja, Kadina nae yupo
Na Mwandishi Wetu
MWANAMUZIKI wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Nasib Abdul, Diamond Platinum anashindana na aliekuwa mpenzi wake Wema Sepetu katika kuwania Tuzo ya Mtu mwenye ushawishi mkubwa katika mitindo.
Tuzo hiyo zitatolewa kwenye Onesho la Mavazi la Swahili Fashion 2014 linaloandaliwa na Kampuni ya 361 Degrees na zitatolewa siku ya mwisho katika onesho la Swahili Fashion Week litakaloanza Desemba 5 hadi 7 mwaka huu
Katika shindano hilo wanaoshindana wengine ni pamoja na Mwamvita...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies13 Mar
Ommy Dimpoz:Diamond si yupo na Zari au? Sidhani kama amemind mimi kufanya kazi na Wema
Mwanamziki Ommy Dimpoz ameyasema hay oleo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM alipokuwa anautambulisha wimbo wake wa Wanjera ambao mrembo Wema Sepetu amecheza kama Wanjera kwenye video wa wimbo huo na kushiriki kupiga picha za kuutangaza wimbo huo.
Ommy alisema haoni kama kuna tatizo lolote kati yake na swahiba wake huyo licha ya Diamond kutoandika chochote kuhusiana na wimbo huo kama ambavyo amekuwa akifanya kwa wasanii wengine.
“Labda hajaposti yupo busy na simu yake, hata mimi kuna...
10 years ago
CloudsFM01 Dec
WEMA AMUITA DIAMOND ‘KAKA’, AMPONGEZA KUNYAKUA TUZO TATU
STAA wa Bongo,Wema Sepetu amempongeza aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platinumz baada ya kunyakua tuzo tatu za Channel O Music Awards Jumamosi iliyopita zilizofanyika jijini Johhanesburg,Afrika Kusini.
9 years ago
Bongo509 Dec
Mourinho: Abramovich yupo pamoja na mimi
![2F2BB2CC00000578-3350987-image-a-18_1449580241332](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2F2BB2CC00000578-3350987-image-a-18_1449580241332-300x194.jpg)
Kocha wa Mabingwa watetezi wa ligi ya England Chelsea Jose Mourinho amesema mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich yuko pamoja nae licha ya msimu mbovu wa mabingwa hao wa England.
Hadi sasa Chelsea wapo nafasi ya 14 kwenye Ligi Kuu England baada ya kupoteza Mechi 8 za Ligi kati ya 15. Leo Jumatano Desemba 9 wanacheza Mechi ya mwisho ya Kundi lao na FC Porto wakihitaji Sare tu au ushindi ili kusongambele.
Akiongea kuhusu kuelekea Mechi ya UCL, Mourinho, alipoulizwa kama atabakishwa kama...