Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND, NAY ‘WAWAVUA NGUO’ WEMA, SIWEMA!

Diamond na Nay wa Mitego wakiimba ngoma yao ya Muziki Gani. Musa Mateja
DONGO! Wakali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ wameamua kuwavua nguo waliokuwa wapenzi wao kwa kuandaa wimbo ambao unazungumzia matendo machafu waliyowahi kutendewa na wapenzi wao hao.

Ngoma hiyo inayofahamika kama Mapenzi Pesa ambayo inaachiwa leo katika vituo mbalimbali vya redio,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SIWEMA WA NAY MBARONI!

Baltazar Mashaka, MWANZA Mzazi mwenzake staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson (27) ametiwa mbaroni na kusota rumande kwa siku kadhaa akidaiwa kujipatia mali kwa njia ya vitisho kutoka kwa kigogo mmoja serikalini (jina linahifadhiwa kwa sasa). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Naibu Kamishna wa Polisi, Charles Mkumbo. Mei 2, mwaka huu, Siwema alilala ‘nyuma ya nondo’...

 

10 years ago

GPL

SIWEMA WA NAY WA MITEGO KORTINI

Musa mateja MAJANGA yamezidi kumkuta mzazi mwenzake na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson ambapo jana alitarajiwa kufikishwa  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, kujibu shitaka la kujipatia mali kwa njia vitisho. Mzazi mwenzake na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson. Siwema anatuhumiwa kujipatia mali kwa kumtishia kigogo mmoja...

 

10 years ago

GPL

NAY: NAJIVUNIA KUZAA NA SIWEMA

Stori: Gladness Mallya MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefunguka kuwa japokuwa ana watoto wengine wa nje lakini anajivunia kuzaa na mkewe, Siwema kwani walipitia changamoto nyingi kabla ya kupata mtoto. Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa na mpenzi wake Siwema.
Akichezesha taya na paparazi wetu, Nay alisema katika maisha ya mapenzi yake...

 

10 years ago

GPL

SIWEMA AMWANGUKIA NAY WA MITEGO!

Musa Mateja Mwisho wa jeuri? Mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson anadaiwa kumwangukia mwanamuziki huyo ili warudiane walee mtoto wao. Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ Habari kutoka chanzo cha kuaminika ambacho ni ndugu wa Siwema kilieleza kuwa, pamoja na  maneno ya shombo aliyommwagia Nay wakati wanaachana, mrembo huyo kwa sasa ameweka silaha chini...

 

11 years ago

GPL

NAY: SIWEMA AKINIBAMBA NA MADEMU ANAZIMIA

Stori: Musa Mateja
STAA wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, hivi karibuni alifunguka kuwa hakuna jambo analoepukana nalo kama kukutwa na mchumba wake, Siwema akiwa na mademu wengine maana huwa anazimia. Akipiga stori na paparazi wetu Desemba 13, mwaka huu, Nay alisema kwamba pamoja na usanii wake wote na kuwa karibu na mashabiki wa muziki wake, amekuwa akijiepusha sana kwenye suala...

 

11 years ago

GPL

NAY KUMUOA SIWEMA KABLA YA KUJIFUNGUA

Nay akiwa na mpenzi wake Siwema. Stori: MAYASA MARIWATA MWANAMUZIKI Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amesema yupo kwenye mikakati ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Siwema baada ya kumtundika mimba. Siwema wa Nay. Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Nay alisema anajivunia kukaribia kuitwa baba na kizuri ni kwamba msichana aliyempa mimba alikuwa na ndoto za… ...

 

10 years ago

CloudsFM

NAY WA MITEGO,SIWEMA WAPATA MTOTO WA KIUME

STAA wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego na mpenzi wake aitwaye Siwema wamepata mtoto wa kiune hivi karibuni.

Kupitia mtandao wa Instagram Nay aliandika hivi...Ooooooh my goooooood!!!! Leo ni cku ya kuzaliwa mama yangu mzazi,,, tukiwa tunakata cake napigiwa simu nimepata mtoto wakiume... yani kazaliwa siku moja na bibi yake,,! Hao apo wamezaliwa leo... Asante Mungu..

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani