DIAMOND, PENNY USO KWA USO
![](http://api.ning.com:80/files/JHmXNI-tCTrZ9*X-EISOuDBE32yA6o7Jw7RAh7V28pwIGrI9pjkFpqF8Scv*tt76U4pOt0bb8Wab5R3B4aMB3qd31k7qtq0J/BACKWIKIENDA.gif?width=650)
Musa Mateja na Imelda Mtema Ule usemi wa kwamba milima haikutani, binadamu hukutana umejidhihirisha baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, kukutana uso kwa uso na aliyekuwa mchumba’ke, Penniel Mwigilwa ‘Penny’ kwenye shughuli ya 40 ya mtoto wa mwigizaji, Aunt Ezekiel hivyo kupata fursa ya kukumbushia enzi zao. Aliyekuwa mchumba’ke Diamond Penniel Mwigilwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo522 Sep
Diamond akanusha kuwalipisha pesa wanaotaka kumuona Tiffah uso kwa uso
9 years ago
Bongo521 Dec
Picha: Diamond uso kwa uso na watoto watatu wa mpenzi wa zamani wa Zari
![diamond na watoto wa zari](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/diamond-na-watoto-wa-zari-300x194.jpg)
Diamond Platnumz ameamua kuudhihirishia ulimwengu kuwa licha ya kuwa mama wa mtoto wake, Zarinah Tlale alimkuta na watoto watatu wa baba mwingine, lakini hilo halimzuii kuhang na watoto hao ambao baba yao ni Ivan Ssemwanga.
Akiwa Uganda weekend iliyopita Diamond na Zari walipost picha za familia ambapo kwenye moja ya picha hizo Diamond amepiga akiwa Zari na binti yao Tiffah na watoto wengine wa zari, na kusindikiza na caption ya kijembe.
“Me and my Stars!…Basi Hapo Vikurubembe roho...
11 years ago
Dewji Blog![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/10377548_761233197231830_1716468337113105179_n.jpg)
Diamond uso kwa uso na Nelly kwenye red carpet ya tuzo za BET nchini Marekani
Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Flava Nasib Abdul almaarufu kama Diamond Platinumz a.k.a Rais wa wasafi leo amepost picha akisalimiana na msanii wa muziki wa kufokafoka wa nchini Marekani Nelly kwenye red carpet wakati wa sherehe za tuzo za BET ambapo ameandika hivi ” Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu mtoto unakua, na tangu unaanza muziki haujui utoke vipi… kiukweli ni jambo ambalo linatia Moyo na nguvu sana ili uzidi...
10 years ago
MichuziMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WTz9XKtzpiI/Uz7-Z1LK2dI/AAAAAAAFYnM/4sSj0WgUoSI/s72-c/IMG_4507.jpg)
ankal uso kwa uso na wazee wa kazi jijini london leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-WTz9XKtzpiI/Uz7-Z1LK2dI/AAAAAAAFYnM/4sSj0WgUoSI/s1600/IMG_4507.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-H8H6GfVlCgM/Uz7-cnvggKI/AAAAAAAFYnU/OqrsKaRFM8Q/s1600/IMG_4513.jpg)
10 years ago
VijimamboMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4TETQG4tBiM/U8rqnC9ghAI/AAAAAAAF3zg/fCwtIzhDE5k/s72-c/SH100835.jpg)
Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club
![](http://2.bp.blogspot.com/-4TETQG4tBiM/U8rqnC9ghAI/AAAAAAAF3zg/fCwtIzhDE5k/s1600/SH100835.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-IqQLziTISnk/U8rqnKLDEYI/AAAAAAAF3zc/lKN9ty_gKWs/s1600/images+(1).jpg)